Mwaka 1995 pale Temeke tulipiga kura na kumchagua msambaa mmoja anaitwa Kihiyo, kumbe jamaa alikua amefoji cheti tena cha VETA, wapinzani walipokwenda mahakamani jamaa akapigwa uchaguzi ukarudiwa 1996 ambapo Augustino Lyatonga Mrema wakati huo akiwa NCCR-MAGEUZI akagombea na kushinda, Temeke...
Mwaka huu vituko vitakua vingi sana kuelekea Oktoba.
Hapo zamani nafasi ya ubunge ilikua ni ya kuheshimika sana ndio maana wakapewa jina la mheshimiwa.
Siasa huleta utengano kwani kuna itikadi zinazokinzana! Kama ni mwanamuziki akiingia upande mmoja ajiandae kupoteza wateja wa upande ule!
Nawashauri hawa jamaa waachane na siasa waendelee na maisha yao.
Kingwendu na wenzake wengi waliposhndwa kila kitu kikapotea
Acheni utani wazee!
Master J
Mwana FA
Harmonize
Steve Nyerere
nk
Kama kuna washauri wao humu ndani wasaidieni hawa jamaa, waambieni siasa kama haipo damuni watapata shida bila sababu ni vema wakaendelea na maisha yao ya muziki!
Mzee alikua ni mgonjwa, kwa bahati mbaya akakutana na zahama jingine ambalo hakulitarajia, ukichanganya yote kwa pamoja utajua alikua na wakati mgumu zaidi.
Mungu ndiye ajuaye hatima ya kila mmoja, tuishi tukifahamu kuna kuondoka. Tujiweke tayari.
Sent using Jamii Forums mobile app
Anatoka CCM anakwenda ACT nao watamsimamisha October, obviously CDM hawawezi kukubali kushirikiana na ACT kutokana na kwamba kiongozi wake ni unreliable, hivyo nao wataweka mgombea wao! Kwa upande mwingine CUF itaimarishwa kidogo kisha tunampeleka straika mwingine pale. Hivyo kwa upande wa...
Watoto waliopata mimba kuendelea na masomo sio tatizo, ila wanaendelea vipi? Je wanarudi katika shule yake ile ile aliyokua akisoma awali au atafutiwe shule nyingine?
Leo nilikua nawauliza wanafunzi, je wana mtazamo gani juu ya kuruhusiwa kwa watoto waliopata ujauzito kuendelea na masomo...
Mkurugenzi wa Jiji ameshasema, yeye hajaona barua zao hao waliojiuzulu mlitaka afanyaje? Wala chama chao hakijamtaarfu kwamba kimewafukuza uanachama!
Kama wamejiuzulu walipaswa wamuandikie barua Mkurugenzi, kwanini chama chao hakijawafukuza mpaka leo?
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.