Recent content by kwemanga1

  1. kwemanga1

    Mbunge Jacqueline Ngonyani (CCM): Ifungwe mitambo ya kukagua wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa

    Huyu atakua amekutana na hiyo kitu ya mbunge ambae bado hajatahiriwa
  2. kwemanga1

    Mbunge Jacqueline Ngonyani (CCM): Ifungwe mitambo ya kukagua wabunge wa kiume ambao hawajatahiriwa

    [emoji2][emoji2][emoji2]Dokta wa kiembesamaki alishasema hana muda kumfokea mtu ila anajua kuandika tu sasa tunasubiri mkeka wa season 5
  3. kwemanga1

    Mwigulu Nchemba: Udokta wangu sio wa kupewa, niliusomea

    Duu!!!! Aliekamata remote yake ni dokta ngoja tusubiri mkeka wa season 5
  4. kwemanga1

    Mwigulu Nchemba: Udokta wangu sio wa kupewa, niliusomea

    [emoji1][emoji1][emoji1] Ngoja tusubiri litatua tu maana waliopewa wengine ni mabosi zake
  5. kwemanga1

    Reformation ya Polisi, Suzan Kaganda amekuja wakati sahihi

    Alitokea Tabora na kabla ya Tabora alikua "Staff Officer" Dodoma
  6. kwemanga1

    Kuna uwezekano Watanzania tuna tatizo la uelewa? Nikimsikiliza Polepole, namuona Mwl. Nyerere. Nyie msiomuelewa Polepole, je Nyerere mngemuelewa?

    Duuuh!!!!!!...... Nyerere na Polepole wamefanana!!!!, kweli? Naona kweli uzee unakujia vibaya. Huyu aliekua tume ya Jaji Warioba anahubiri katiba mpya, alipopewa madaraka akabadilika akawa hataki katiba mpya, akaungana na Prof alieokotwa jalalani kukana waliyokuwa wakihubiri na Mzee Warioba...
  7. kwemanga1

    Katiba ibadilishwe Rais Samia atawale hadi 2040

    "Atake asitake"[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
  8. kwemanga1

    Uchaguzi 2020 Dkt. Wilson Mahera: Wagombea watakaotoa lugha za uchochezi na matusi watafutwa

    Aanze na magufuli alipomtaka "Sugu"amsugue amuulize alimaanisha nini
  9. kwemanga1

    Uchaguzi 2020 Mkurugenzi wa Uchaguzi NEC: Watanzania hawataki mtu atakayeuza madini yao kwa wageni nje

    MKURUGENZI WA UCHAGUZI AONDOKE HATUFAI MKURUGENZI WA UCHAGUZI AONDOKE HATUFAI MKURUGENZI WA UCHAGUZI AONDOKE HATUFAI MKURUGENZI WA UCHAGUZI AONDOKE HATUFAI MKURUGENZI WA UCHAGUZI AONDOKE HATUFAI MKURUGENZI WA UCHAGUZI AONDOKE HATUFAI MKURUGENZI WA UCHAGUZI AONDOKE HATUFAI MKURUGENZI WA UCHAGUZI...
  10. kwemanga1

    European Parliament resolution on Tanzania

    Upo sahihi, ila kumbuka kwa Ghadafi yalianza hivi hivi, kidogo kidogo mwisho ukawa mzozo mkubwa, hawa jamaa huwa wanatafuta sababu tu ya kukuvuruga hili si jambo la kupuuza.
  11. kwemanga1

    RPC Olomi aliyesimamishwa kazi Kagera ni nani ?

    Kustaafishwa kabla ya muda husababishwa na kushindwa kusimamia madaraka uliyopewa kama inavopaswa hivo kusababisha kushuka kwa ufanisi tkt taasisi/idara unayoiongoza na kwa mfano wa huyo RPC wa mbeya Haule alionekana kashindwa kusimamia usalama wa Mbeya hivo kukawa na matukio ya ujambazi mengi...
  12. kwemanga1

    Fumbo la maisha: Waziri Ummy meza kiburi, ombeni msaada kwa Mwele Malecela, WHO.

    Samahani, nauliza hivi serikali kupitia waziri wa afya imempongeza Dt Mwele Ntuli kwa kupata nafasi hiyo? au ndio wamekausha tu!!!
  13. kwemanga1

    Rais Mstaafu Ali Hassan Mwinyi: Rais Magufuli mimi ni great admirer wako. Wengine wanatamani, wewe unafanya

    Mzee ruksa ametoa mawazo yake na ni vizuri kuheshimu mawazo ya wazee kama hawa hata kama huyapendi mawazo kwa heshima ya sisi waafrika mzee akikosea au akisema jambo hulipendi unakaa kimya au unapotezea na kuendelea na yale ambayo wewe unaona ni mazuri kwako ukianza kumtusi au kumdharau sisi...
  14. kwemanga1

    Zitto Kabwe: Idadi ya watoto wasiojua kusoma imeongezeka

    Kwa hiyo mtu akifariki mke/mume hatakiwa kuwa na mume/mke mwingine? Mi kwangu hii sioni kama ni kashfa mke akifa mume yupo huru kuwa na mke mwingine halikadhalika mume akifa mke yupo kuwa huru kuwa na mume mwingine
  15. kwemanga1

    Hivi zile milioni 20 ambazo Rais Magufuli amewaahidi wajasiriamali wa Ferry, zinatoka mfukoni mwake au kwenye Hazina yetu ya Taifa?

    Hizo ni sawa na za mfuko wa jimbo anazopewa mbunge ila kwa raisi fungu ni kubwa zaidi
Back
Top Bottom