Recent content by KweliKwanza

  1. KweliKwanza

    JamiiForums Tanzania Taifisheni mabasi yote yaliyogoma kufanya kazi Leo hii ni hujuma dhidi ya uchumi wetu

    Hizi sheria kali wanaofaidika ni Matraffic kupiga hella Kwanini serikali haiwashughulikii
  2. KweliKwanza

    JamiiForums Tanzania BONGO, HATA SHERIA YA KUTUOKOA TUNATAKA KUIGOMEA!

    Wanaofaidika unahisi ni nani kama sio matraffic wenyewe, tayari wana nguvu, sahv ndo watatengeneza maghorofa kabisa
  3. KweliKwanza

    JamiiForums Tanzania Migodi mipya yote wanapewa waarabu, wachina na wazungu. Mwafrika ambae ni rasimali zake akiomba hapewi

    Hivi viongozi wa Afrika mna akili au matope ya kupenda sifa, Hao mnaowaita wawekezaji nyie wenyewe ndo mmewapa utajiri, ila kuwapa waafrika wenzenu mnaona uvivu, hivi hizi akili mnazitoa wapi, halafu miaka ya mbele mkifa mnawaacha watoto wa vizazi vyenu na majirani yenu yani waafrika wenzenu...
  4. KweliKwanza

    JamiiForums Tanzania Mbona wachina wapo kila sehemu nchini! Serikali iwadhibiti

    Wamejaa sana, badae ndo unashangaa wameshika kila kitu waafrica wanabaki vidampa, na wanadharau sana waafrica
  5. KweliKwanza

    JamiiForums Tanzania Mbona wachina wapo kila sehemu nchini! Serikali iwadhibiti

    Kila sehem wapo, Magerage wapo, maduka, karikoo wanaanza kuishika, mitaani wamejaa, kwenye viwanja vya ndege wapo, Mabondo ndo wamewekana kila level, yani humuuzii mchina wa juu bila kuwauzia wachina wa mitaani. Vidispensary wamevijaza kila kona Hawa wanaongezea dola kupanda maana wanachuma...
  6. KweliKwanza

    JamiiForums Tanzania Nchi za Kikristo zinawezaje kuishi kwa amani namna nii?

    Wakristo wanaishi na wengine vzr kwa amani, kila waislam kimaandiko wanataman kuua kila asiye muislam hapo ndo tatizo linaanza
  7. KweliKwanza

    JamiiForums Tanzania Nchi za Kikristo zinawezaje kuishi kwa amani namna nii?

    Wakristo wanaishi na wengine vzr kwa amani, kila waislam kimaandiko wanataman kuua kila asiye muislam hapo ndo tatizo linaanza
  8. KweliKwanza

    JamiiForums Tanzania Israel yashutumiwa kwa shambulizi Syria

    Ndo sababu mnazojipa sio
  9. KweliKwanza

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Israeli limechukua udhibiti wa kilele cha Mlima Hermoni upande wa Syria bila pingamizi, eneo la kimkakati linalotazama Lebanon na Syria

    Hivi Quran yenu inasemaje kuhusu mwanamke wa kiislam, akienda mbinguni nae anapewa njemba 100 au inakuaje, au nae anagawiwa miongon mwa mabikra
  10. KweliKwanza

    JamiiForums Tanzania Baraza la Israel yatangaza mashambulizi mapya dhidi ya Iran

    Ndege ziliingia irsn lkn, walkuwa wanaonesha jets zikiwa juu ya anga, au myb zilkuwa za muiran, WaTz tujijenge sisi kama sisi mana hao wote wanatuona sisi manyani tu
  11. KweliKwanza

    JamiiForums Tanzania Baraza la Israel yatangaza mashambulizi mapya dhidi ya Iran

    Wanajeshi wa rada wafe af ndo limefeli kweli!??, ila sisi wabongo mambumbumbu, ushabiki wa kijinga huu hauna hata manufaa, hao wote wanatudharau wanatuona wajinga
  12. KweliKwanza

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2020 Tsh. 10,000 ilinunua Petroli lita 5.3, leo Oktoba unaondoka na Lita 3 tu za Mafuta kituoni

    Watakwambia mafuta yalipanda bei ilhali duniani kote yameshuka
  13. KweliKwanza

    JamiiForums Tanzania Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

    Na ndo maana nasema sisi waafrica kushabikia upande tunakosea, hao Hezbollah wakisukumwa na Iran wanaamin njia pekee ni kuua Wayaudi wote mana hapo ni kwao yani ardhi yao, wayaudi pia wanaamin njia pekee ya kuzuia maafa kwao ni kumaziza ushindani wote mda huu wakati wao wana advantage kwenye...
  14. KweliKwanza

    JamiiForums Tanzania Israel yathibitisha kuuliwa kwa Hassan Nasrallah Kiongozi wa Hezbollah

    Hao wanajitetea wao, na sisi tunajitetea sisi, kila moja wao ana sababu ya kugombana na mwenzake, ila sisi hatuna sababu hyo, ni ujinga kushabikia
Back
Top Bottom