hapo fataki ni viongozi wa CCM ambao wanataka kuwarubuni wananchi ili wawape kura huku wakijua kuwa watawageuka baada ya kuchaguliwa na hawajafanya chochote kwa awamu iliyopita. si unajua fataki anavyokuja na lugha laini ili apate anachokihitaji. mara ooooooooo nitakununulia gari, simu ya...
Naomba wasomaji muelewe. Kwa uelewa wangu ni kuwa tangazo la SIDANGANYIKI linalomhusu yule binti mwanafunzi limetolewa na Haki Elimu. kama nimekosea mtanisahihisha. lakini hiyo siyo tatizo.
kwa mtazamo wangu ni kuwa huyu SOFIA SIMBA tangazo analolilalamikia ni lile ambalo lilitawala sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.