Recent content by Kwasakwasa

  1. K

    Ole wenu CHADEMA!

    Fikiraduni; Mimi Mkandara na Mzee ES siwajui, siwezi ku-wa attack wenyewe, mimi ninapinga hoja zao, ambazo mara kwa mara zinaelekezwa kuwakejeri wapinzani na watu wote wanaosupport kuwepo upinzani chini. Isiwe na wewe huko kwenye hilo kundi. Kama kweli upinzani ni dhaifu, udhaifu wake unatokana...
  2. K

    Ole wenu CHADEMA!

    Mkandara; Hata ungelikuwa wewe kwa hali ya mazingira ya TZ kisiasa, si rahisi kuishinda CCM. Mimi uwanasema bila kubadiri katiba ya nchi, CCM itatawala mpaka milele. Viongozi wakuu kuanzia Rais, RC, DC, wanamadaraka makubwa mno, wanaweza kufanya wanalotaka, pia mjue hao ni makada wa chama. Pia...
  3. K

    Ole wenu CHADEMA!

    Mkandara na Mzee ES Acheni vitisho vyenu kila mtu ana haki ya kutoa mawazo yake kwenye hii forum. Msijifanye mnajua sana siasa kuliko wengine. Wacha vijana watoe mawazo yao. Wao wanatanguliza uzalendo zaidi ya uchama. Nyie mmekulia kwenye u-dictetor, wenyewe wanamawazo ya kisasa. Naomba tuwape...
Back
Top Bottom