Mmmm hapana utafiti wako ni feki.kwa upande wangu naiona CCM iko vizuri kuliko nyakati zote.sababu ni nyingi sana.moja wafanya biashara wako vizuri,wafanyakazi wako vizuri,sera za nje ya nchi imekaa vizuri,mabenki kupunguza liba ya ukopaji hili mama limemwongezea kuaminika sana,mzunguko wa pesa...