Kwani walipoonyesha kwenye picha ulihakikisha vipi kuwa kweli ile ni Quran ??
Zanzibar kutokula mchana wakati wa Ramadhani haikuanza leo, Huku kuna Wahindu , magoa , Maparisi Kanisa la kikatoliki na hatukuwasikia kulalamika hata siku moja wakati wa Ramadhani wala wanakuwa hawali mbele za...
NDIO NIKAKUONA KICHWANI MNA MAFUNZA YA PAULO HATA KUFIKIRI HUWEZI
Yaani hao watu weusi waliojaa huko nchi za Kiarabu uliwazaa wewe kama walikuwa castrated ???????
Paulo Au Yesu?
Hebu yazingatie Mahubiri ya Yesu aliyotoa juu ya Mlima wa Zaituni:
Msidhani ya kuwa nalikuja kuitangua torati au manabii; la, sikuja kutangua, bali kutimiliza. Kwa maana, amin, nawaambia, Mpaka mbingu na nchi zitakapoondoka, yodi moja wala nukta moja ya torati haitaondoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.