Nilikua nakuona unajielewa kumbe hamna kitu.
Hivi uliona list ya wasimamizi wa uchaguzi, sio mliofikiri wako upande wenu? Na unadhani mabalozi wa nchi mnazotaka kualika wanaishi wapi? Una uhakika hawaoni kuwa kuna kakikundi ka drama kanakozusha taharuki kwa kigezo cha mageuzi?
Kama unataka...
CHADEMA mnahangaika sana, tulieni dawa iwaingie si hamtaki mapendano nyie!
Kila siku mnatuma mtu mpya aongee maneno hayo hayo, kutoka Polepole, Gwajima, Sugu na sasa Mwabukusi. Tunawazoom tu, hamjasema bado mpaka tutiki tutashuhudia mengi😂😂😂
Mi naona wanapoteza muda tu, maneno yao hayatabadilisha lolote. Wangekaa ty pamoja na Gwajima waseme yote wanazohisi ni siri zooote kubwa wanazojua halafu waone kama kama uchaguzi utaahirishwa. Wamebakia kama Mange Kimambi tu, masadist😂😂
a.k.a bush lawyer. Mamburula wenzie wanamuaminiaaa! Na kibegi chake cha kuwakosha wazungu kila akienda mahakamani anakigeuza kipigwe picha kimeandikwa nini vile??🤪🤪🤪 (mzee wa mapozi ya ki- Nelson Mandela🤣🤣🤣)
Kila jambo ni hatua. Kuna nchi zimeendelea kupitia FDI, Vietnam mfano. Nadhani juna umuhimu wachumi kushauri namna nzuri ya kureview na ku allign FDI tunazktaka kuattract (policy) ziendane na vision yetu na sio kukosoa kila jambo.
Wananchi wa kwenye mtandao? Wsnanchi halisi wanampenda, wanasiasa wenye agenda za kutugawanya ndio wanaoshinda mitandaoni kupiga kelele.
OKTOBA TUNATIKI
Ukiachana nao kuna wengine hapa wanatafuta maneno ya kuonesha FDI sio issue yani kwa kifupi ma- sadist. Wamejaa kila mahali. Kwa hili mimi nasema Samia mitano tenaaa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.