Recent content by kwamagombe

  1. K

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Lowassa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Jangwani: Uzinduzi wa Kampeni za Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) - Agosti 29, 2015

    Kwa upande wangu, Mkutano ulifana sana hasa kwa uwingi wa watu, watu walikuwa wengi saana haijawahi kutokea kwenye medani ya Siasa za Tanzania, tatizo nililoliona kwenye ratiba ya UKAWA, muda aliopewa Mgombea Urais ulikuwa ni mdogo sana, otherwise nawapongeza sana.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Nape wajibu watanzania maswali haya

    Je ni vyama gani vilivyosimamisha wagombea?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kamanda Mawazo yuko Kome Visiwani

    Daima mbele nyuma mwiko, kila lakheri kamanda Mawazo na Mungu akuepushie na mabaya yote, amen
  5. K

    JamiiForums Tanzania Watu wauawa, Ofisi zachomwa Mtwara | Bunge la jioni lasitishwa - Hali ni tete...

    Wapendwa inatisha sana hii taarifa, poleni sana wana Mtwara na Mungu aepushe yasitokee makubwa mabaya zaidi, Amrn
  6. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waibwaga CCM IFM

    Ni vizuri ukaelleza ni uchaguzi wa nini katika ngazi gani na kiasi cha kura
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mabomu ya Machozi Yanapigwa Ruaha (CCM waachieni CHADEMA Ushindi Wao)

    Hembu tuhabarishe mkuu, ni uchaguzi gan?i wa kiongozi gani? ulifanyika lini? alishinda kwa kura ngapi? na ikawaje ikafika huko
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka Olasiti - Arusha: Mazishi ya Marehemu wahanga wa Mlipuko na yaliyojiri

    MUNGU uzilaze mahali pema peponi amen. Kwa vile mlitoa miili yenu iwe dhabihu ya kweli kwa kuacha kila kitu na kwenda kanisani kuhudhuria ibada hakika Mungu hataacha hivi hivi roho zena, Mungu awasamehe makosa yenu yote Amen.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Prof. Safari, Mabere Marando, Jj. Mnyika, Halima Mdee wanaizika rasmi CCM Mlandizi Jumamosi

    Kila lakheri makamanda na MUNGU awatangulie katika kufanikisha hilo, mtangulizeni Mungu nanyi mtafanikiwa
  10. K

    JamiiForums Tanzania Lwakatare afutiwa mashtaka ya Ugaidi

    Poleni sana Ma-ccm kwa pigo kubwa hilo, penye ukweli uongo hujitenga, ni kitu kibaya sana kumsingizia au kumbambikia mtu kosa, kumbuka alivyokaa mahabusu muda wote huo kwa uongo wenu, nawakikishia kuwa mmetenda dhambi, mmemtesa mtu asiye na hatia kwa interest zenu za kisiasa.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Filikunjombe na Lugora kunyimwa kuchangia bajeti ya Wizara ni demokrasia?

    "Mango pickle" unauliza haki gani? haki ya kuchangia Bungeni
  12. K

    JamiiForums Tanzania Filikunjombe na Lugora kunyimwa kuchangia bajeti ya Wizara ni demokrasia?

    Spika/Mwenyekiti hakutenda haki kwa kutowapa nafasi ya kuchangia, na hapo unaona kabisa spika anaongoza bunge kwa maslahi ya CCM, mbaya sana
  13. K

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Lema afikishwa Mahakamani kwa makosa ya Uchochezi, aachiwa kwa dhamana!

    Nguvu yote iliyotumika kumkamata na hata chai alikuwa anapewa dk1 ila mahakamani mambo rahisi kabisa na mtu yupo nje kwa dhamana, hakika hawa polisi wetu wanatumia sana siasa, wanajisikiaje baada ya muda mfupi wnakutana nae uraiani, aibu
  14. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Nassari akiwa na Lema kituo kikuu cha Polisi, Arusha

    Nami pia nampa pole Mh Lema, amani iwe kwako pamoja na uvumilivu na Mungu akulinde na mabaya yote, Amen
  15. K

    JamiiForums Tanzania DC Arusha Mjini kupandishwa kizimbani kwa kuingilia Halimashauri

    Tunakutakia kheri Mh. Diwani kwa uamuzi huo uwe fundisho kwa viongozi wengine wanaokiuka taratibu/sheria kwa maslahi yao
Back
Top Bottom