Recent content by kwakina itafakari

  1. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Dereva wa John Heche akutwa amefariki chumbani Kigoma

    Eti mama!! Unajua hii Nchi imejaa mazuzu sana mpaka nashindwa kuelewa tatizo nini hasa
  2. K

    JamiiForums Tanzania Tusijidanganye hata wao ni waoga kwa sasa maana suala la October 29 liliwashtua sana hii 7/7 ndo kabisa lazima vichwa viwaume

    Ikiwa hivyo ndivyo unavyoamini,kipi kinachokuzuia kuamini kwamba na haya pia yamepangwa na watu hao hao?
  3. K

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Wanatamani kuleta chokochoko, nguvu tutakayotumia awamu hii kulinda amani, haijawahi kutokea

    Kimsingi anasema kwamba,MO29 serikali batili iliua raia kwa makusudi kabisa ili kufanya majaribio ya nguvu zake dhidi ya Watanzania, na sasa hivi wqmenuia/wamejipanga kufanya mauaji makubwa zaidi ambayo hayajapatq kushuhudiwa popote pale Duniani Sawa Sawa kabisa tumemsikia na kumuelewa vizuri...
  4. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rapa Zay B (Zainab Lipangile) afariki dunia leo, Mei 31, 2026

    Ngoma ilikuwa ya kibabe sana ile kila mtu aliua, Tambaza ilikuwa skonga langu pia,chimbo langu juu ya dari kule napiga misuli
  5. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rapa Zay B (Zainab Lipangile) afariki dunia leo, Mei 31, 2026

    Kwenye hizo ngoma AY ni balaa na flow zake hakuna tena daaah!,yaani kama ambavyo huwa sichoki kumsikiliza juma nature kwenye jirani mtani,kighetto ghetto original na mtulize ya mabaga fresh, inspector kwenye ngangari au gk kwenye sister sister, Unajua muziki wa bongo flavor niliupenda sana...
  6. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rapa Zay B (Zainab Lipangile) afariki dunia leo, Mei 31, 2026

    Kuna nyingine ya TID inaitwa "siku kama hizi" sio poa nayo,kama unayo iachie tu hapa mkuu tuburudike
  7. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rapa Zay B (Zainab Lipangile) afariki dunia leo, Mei 31, 2026

    Kama unayo original(zay b featuring inspector) naomba idondoshe hapa ili wote wenye kuitaka waipate mkuu
  8. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rapa Zay B (Zainab Lipangile) afariki dunia leo, Mei 31, 2026

    Mpaka leo sijajua nini hasa ilikuwa sababu ya zay b na inspector kuzinguana mpaka kufikia zay b kutoa ile remix Ila nilisikiaga kipindi kile kwamba kuna ngoma ya kujibu mapigo ilirekodiwa ila ikazuiwa kutoka, ndani ya ngoma hiyo alikuwepo Inspector, sister p na dudu baya
  9. K

    JamiiForums Tanzania TANZIA Rapa Zay B (Zainab Lipangile) afariki dunia leo, Mei 31, 2026

    Lakini huyo huyo inspector ndio alimtoa zay b kwenye nipo gado original Binafsi naikubali zaidi nipo gado original ingawa ni kama haipatikani kwa sasa
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mbunge Muhsin Haji: Niwaambie vijana wa Tanzania mtakuja kumkumbuka Rais kwa makubwa aliyofanya kwa nchi hii

    Tutamkumbuka kweli kwa jinsi alivyotuulia ndugu zetu
  11. K

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Tume imetambua vifo 518 wakati wa maandamano ya Mo29. Wamekiri, watatokaje?

    Je zina mpango wa kuchukua HATUA gani ili kuhakikisha UKWELI wote unawekwa wazi na HAKI inapatikana kwa pande zote mbili?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kilio na sala ya Lissu toka Ukonga: Watanzania mmelala? Mimi sijalala

    Kwani kwa kadiri ya uelewa wako,hii Nchi imeshakuwa na viongozi wa juu(Rais)wangapi kabla ya JPM kuwa Rais? Je wangapi kati yao walikubali hiyo KATIBA MPYA? Kwamba unaamini kwa dhati kabisa matatizo ya Taifa hili yatakoma pindi tu KATIBA MPYA ikipatikana? Na mwisho kabisa,kama mpaka...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Kilio na sala ya Lissu toka Ukonga: Watanzania mmelala? Mimi sijalala

    Kwahiyo JPM bado anaongoza hii Nchi akiwa mafichoni,si ndio?, tatizo lenu ninyi ni WAPUMBAVU kama hao wafuasi wa CCM, tofauti ni ninyi bado hamjapata madaraka, .mlitumika kwa kujua ama kutokujua na WAHUNI kumkwamisha na kumvuruga JPM katika kipindi chake,ajabu hamtaki kuona na kukubali...
  14. K

    JamiiForums Tanzania Kilio na sala ya Lissu toka Ukonga: Watanzania mmelala? Mimi sijalala

    Mamluki huyo achana naye
Back
Top Bottom