Recent content by KVLONDON

  1. K

    Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    Umesema ukweli maana kuna tabia ya kusoma wakati mwingine kwa mkumbo bila kujua unataka kuwa nani hasa pale inapokuja mtu unayamudu masomo mengi. Mfano: Mimi nlipata wazo la kutaka kufanya kazi kama medical officer nkiwa form 2 lakini papo hapo nkawa nataka pia nije kufanya kazi inayohusiana na...
  2. K

    Are you seriously seeking for a job!!!Ona hii

    Labda si graduate wa ukweli. Kama ni wa kweli alifikaje huko na alikuwa akifanyaje pepa? Si angedisco na kabla ya kudisco si angefeli sekondari..? Pengine ni GRADUATE WA KWELI LAKINI AMESOMA NAMBA TU ambazo hazihitaji sana maelezo. Ila ni changamoto kweli kwa ma HR
  3. K

    Kabla hujaanza kuzunguka na bahasha soma hapa

    Ni kweli anavyoeleza na ndivyo maisha halisi kwa sasa yalivyo. Academics na maisha halisi ni vitu viwili tofauti, na kutafsiri uwezo wako wa kitaaluma kufanya mambo halisi ndilo la msingi. Waliopo vyuoni sasa ukiwaambia hadithi ya mishahara ya TGS ... za kati ya laki 360, na laki 450 kwa mtu wa...
  4. K

    Nafasi za Kazi - TACAIDS

    Waheshimiwa, naomba anaefahamu kiwango cha mshahara kwa wanaoanza kazi huku TACAIDS, JSI/EGPAFF na kama wana benefit nyingine kama usafiri i. e nauli, nyumba nk. Ni muhimu kweli kweli
Back
Top Bottom