Recent content by KUZIMU

  1. K

    Kigwangalla na Bashiru ni mapacha

    Wanaandika Vijana Wazalendo wa TRC Jana Desemba 04, 2022 kwenye mitandao ya kijamii pameibuka mjadala kuhusu Mabehewa ya Reli yetu tarajiwa ya kisasa ulioanzishwa na Mbunge wa Chama chetu cha Mapinduzi CCM wa Jimbo la Nzega, Mheshimiwa Dkt HKigwangalla. twitter.com/i/web/status/1… Image Niseme...
  2. K

    CCM HQ mtazameni Saashisha kwa jicho la 3 anakigawa chama, tutapoteza jimbo

    Sisi wana CCM ndani wa Hai tunakiomba chama chetu kimdhibiti Saasisha maana ametumia uchaguzi huu kugawa chama. Saasisha alikuta tumeungana ila sasa anagwa jimbo Ili mjomba wake Freeman Mbowe achukue jimbo letu tena. Mlevi wa mkoa wa Kilimanjaro Lubinga Saasisha anakudanganya sana.
  3. K

    Kosa la Mwigulu Nchemba ni nini?

    Wanajamvi, nimependa namna Mwandishi wa mwanahalisi alivyochambua hoja, ebu tupitie Kwa pamoja link hiyo tulijue kosa la Dkt Mwigulu Nchemba -- KWA wanaofahamu jinsi serikali inavyofanya kazi, wanaofahamu kutungwa kwa muswada, kufikishwa kwa mswada huo bungeni na hadi kuwa sheria, hakuna shaka...
  4. K

    Waziri Mwigulu Nchemba azuru Mkoa wa Mara, atatua kero papo kwa hapo

    Ziara ya Dkt Mwigulu Nchemba Mkoani Mara imepokea na kutatua kero, changamoto na Matatizo sugu ya muda mrefu yaliyokuwa yanawasumbua Wananchi wa Mkoani humo yakiwemo ukamataji mipakani, bidhaa za magendo, Latra, Mbolea. Wananchi walipewa nafasi ya kutoa madukuduku Yao hadharani bila ubagudhi na...
Back
Top Bottom