Huo ndo udakitari wa kusomea kweli kweli, huyu wa huku yeye kudhani ana PHD anadhani ana akili kuliko wote, kejeli, ubabe, dharau, unyama yaani. nami nahamia Zanzibar
Yes huo ndio utaratibu. CCM hawakutaka wapinzani walijiamini kuwa wataleta maendeleo, leo wameanza hata kutumia njia haramu kuhonga Bawacha ili waende Bungeni, wamegushi nyaraka za chama. Wakitaka wajivue ubunge, wawe wanachama wa kawaida.
Hao wakiruhusiwa kurudi wataanza kuleta vurugu ndani na kujijenga zaidi, huwezi kuwa na tamaa hadi unafikia hatua ya kufoji nyaraka ukisaidiwa na CCM halafu useme wewe ni Mwana Chadema, Fukuzia mbali hao.
Mzembe mkuu katika nchi ni rais, Rais wa nchi huwezi kuwaacha watu wanabagaza katiba katika level hii. Rais tangu ameapishwa yupo kimya mno. Watueleze ni Mgonjwa au alisha wahi mbele ya haki. nchi inapoteza mwelekeo
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.