Recent content by Kurunzi Huru

  1. Kurunzi Huru

    Kutoroka kwa kapuya: Jeshi la polisi thibitisheni umakini wenu!

    Hapo kurudi mwakaniiii... Kipind hcho yule binti kashapotea...
  2. Kurunzi Huru

    Kutoroka kwa kapuya: Jeshi la polisi thibitisheni umakini wenu!

    Well, heb tuambie; Yuko kijiji gani?
  3. Kurunzi Huru

    Kutoroka kwa kapuya: Jeshi la polisi thibitisheni umakini wenu!

    Haishindikani kuwa jamaa ametulia hapo Kibaha anakula bata kwa mrija huku sisi tukitifuana huku kumtafuta nje ya nchi...
  4. Kurunzi Huru

    Kutoroka kwa kapuya: Jeshi la polisi thibitisheni umakini wenu!

    Hapo kurudi mpaka akijua mambo yametulia..
  5. Kurunzi Huru

    Kutoroka kwa kapuya: Jeshi la polisi thibitisheni umakini wenu!

    Asante kwa swali zuri. Ikumbukwe kuwa, Kapuya ni mjumbe wa kamati ya kudumu ya Miundo mbinu. Mwanzo, taarifa kutoka ofisini kwake walitoa taarifa kuwa ana safari ya kikamati, lakini kamati hiyo imekanusha rasmi.. Pili, Kapuya ameondoka muda mfupi sana baada ya kesi yake kufunguliwa. Nadhani...
  6. Kurunzi Huru

    Kutoroka kwa kapuya: Jeshi la polisi thibitisheni umakini wenu!

    Haki haipaswi tu kutendeka, bali inapaswa kuonekana ikitendeka..
  7. Kurunzi Huru

    Kutoroka kwa kapuya: Jeshi la polisi thibitisheni umakini wenu!

    Habari ambazo tayari zimethibitishwa ni kuwa, Mh. Juma Kabuya (mb) ambae ametuhumiwa kwa kosa la kumbaka na kumuambukiza virusi vya ukimwi binti mmoja hapa nchini, ni kuwa mbunge huyo ameondoka nchini kwa kile kinachotajwa kuwa ni safari ya kikazi kwa miezi miwili. Hii imekuja masaa...
  8. Kurunzi Huru

    Mtu huyu Aden Rage

    Hofu yangu sio content, mtoa mada nahisi ni product ya shule za kata. Unaandikaje bila vituo huku kukiwa na makosa mengi kiasi hicho? Physics with chemistry bana...
  9. Kurunzi Huru

    Uganda yaishutumu Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete juu ya EAC

    Kwa walio na uwezo mkubwa wa kuelewa mambo watakuwa wameelewa jambo moja. IPO CHUKI INAYOTAWALA EAC KWA SASA. Shirikisho halikatazi diplomatic relationship baina ya members na members au na non members. Nchi yoyote inaweza kuwa na mahusiano ya kidiplomasia na nchi nyingine. Hata hvyo, mahusiano...
  10. Kurunzi Huru

    Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    Jamani., HIVI RECEIPT ZA SERIKALI UNAPEWA PALE UNAPOLIPA AU UNAPOLIPWA? Mfano, ninapolipia ada, napewa stakabadhi. Nnapotoa fedha kwa huduma flani nnapewa stakabadhi.. Hii imekaaje tena?
  11. Kurunzi Huru

    Danadana na siasa ndani ya wizara ya Elimu zitazidi kudidimiza Elimu Tanzania

    Wizara ya elimu sasa imekuwa kichwa cha mwenda wazimu.. Kila mwenye wembe ananyoa tu...
  12. Kurunzi Huru

    Danadana na siasa ndani ya wizara ya Elimu zitazidi kudidimiza Elimu Tanzania

    Ubabaishaji huu hautaishia hapo., utakwenda hata kwenye elimu ya juu.. Si ajabu first class ikashushwa had GPA ya 2.5.. Mtu ukipiga 2.5 nawe unakuwa first class...
Back
Top Bottom