Recent content by kunyumba igembe

  1. K

    JamiiForums Tanzania PICHA: Hawa ndio waliomuua mwandishi wa Channel Ten (Daudi Mwangosi) huko Iringa

    inasikitisha sana, japo ni muhimu kwa chombo huru kikaundwa kuchunguza tukio hili, ili kubainisha ukweli wa mambo na wale wote waliohusika
  2. K

    JamiiForums Tanzania Makabila yetu: Vijana na wanawake wa Kisukuma

    wasukuma ni waungwana, wanaheshima, wastaarabu, hawana makuu. tabia ya mtu binafsi haiwezi kuchukuliwa kama ndo kipimo cha ku-assesss wanawake wote wa kisukuma. kasoro pekee ya wasukukma wanapenda sana tena mno kuongea kisukuma, ndo kitu pekee wanachoboa!
Back
Top Bottom