Recent content by kunselii

  1. K

    JamiiForums Tanzania Lowassa asema atapunguza mshahara wa Rais toka milioni 400 kwa mwezi hadi milioni mbili

    Tunaendelea kusikiliza, ehee lingine?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Edward Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Chizi Maarifa Nasikia Mkulu kajiapisha kwamba potelea mbali atakabidhi nchi kwa Jwtz!
  3. K

    JamiiForums Tanzania 2015: CCM kuwa na mgombea, si Rais mtarajiwa

    Hata Kama itaonekana ni ujumbe toka mtaa wa ufipa Kinondoni, lakini Una mantiki nzuri na yenye ukweli.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Tuache ushabiki wa vyama: Nani bora kwetu, kati ya Lema na Monaban - Arusha Mjini

    Madava . Watoto wa Mollel wanaosimamia kinu cha NMC Olais, Adamu na Nathan wamekupa unga kiasi gani? halafu Panju nasikia anagawa dagaa , vipi umepita?
  5. K

    JamiiForums Tanzania Amon Mpanju:Tume ya Jaji Warioba haikuongozwa na Weledi

    Bora amekuwa kipofu, angekuwa tatizo kubwa zaidi!
  6. K

    JamiiForums Tanzania Walinzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Tena kaunda suti!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Polisi na CCM wakituzuia kufanya mafunzo mchana, tutafanya usiku na kwa kificho

    Hata comment yako ni kibogoyo, manati, kisu na vile vingene kama ndio vifaa vya kijeshi/kivita basi kila anayetaka kipande cha ardhi ya Tanzania na AJE!
  8. K

    JamiiForums Tanzania When We Were Leaders: Reflection of the Passing of Gen. Hashim Mbita

    Mzee " mwenzangu" umesema mengi kiasi kumhusu Brig. H.Mbita. R.I.P. COMRADE MBITA .
  9. K

    JamiiForums Tanzania Vijana NCCR-Mageuzi: Hatuwataki Dr. Slaa na Lipumba urais UKAWA

    Kuna ukweli kiasi, nyongeza tu ni kwamba Salva pia kanunua hisa nyingi Raia Tanzania. Lengo ni wazi kwamba (1) Akistaafu ikulu kama sio kufukuzwa awe na mahali pa kuandikia mawazo yake ,pili kwasasa gazeti hilo na Raia Mwema ni kama wanauhakika wa nani atateuliwa kuwa mgombea wa urais CCM na kwa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo orodha ya mashujaa wa miaka 50 ya Muungano, Mama Maria na Diamond ndani

    Yaani we ni mngese? Kwann una divert hoja!
  11. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Yapukutika: Mbunifu wa Operesheni za M4C na Sangara Atimkia ACT - Wazalendo!

    Kwa aina ya ujumbe, mantiki yake, dhamira, lengo na muktadha wake. Matusi ni halali! Sasa kumbe unategemea nn?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa amewaambia Wamarekani ni mgombea Urais (kwa tiketi ya UKAWA?)

    Nina hasira lakini nimecheka, sometimes jamii is a funny forum!
  13. K

    JamiiForums Tanzania OC - CID Mafwele ni nani? Kwanini haguswi na uhamisho wa Polisi nchini?

    Teh teh teh teeeeeh! Buswelu bwana, hii ina uhusiano wowote na suala lako???
  14. K

    JamiiForums Tanzania Mwigulu azikana email zilizosambazwa kuhusu Zitto

    Wenye madarasa ndio wanaotuhenyesha leo, bado we unaendelea kukariri mazoea? We darasa limekusaidia?
  15. K

    JamiiForums Tanzania Mwigulu azikana email zilizosambazwa kuhusu Zitto

    Umembananisha sana, mpe pumzi!
Back
Top Bottom