Hizi garama za kuagiza gari zinazotozwa na TRA kuna haja ya kupata maana yake na kwanini zinatozwa. Kwa sisi tusiojua tunaona kama ni wizi kuna kodi hadi ya railway.
Ama kuna anajua kwanni zinatozwa au mamlaka husika watusaidie. Inafanya kumiliki gari Tanzania iwe kama anasa, malipo ya TRA...
Miaka 63 ya uhuru wa Tanzania kumekua na juhudi mbali mbali kama nchi na wadau mbali mbali kufikisha huduma za afya mijini na vijijini. ikiwa ni pamoja kuongeza idadi ya vituo vya kutolea huduma pia kuongeza idadi ya watumishi wa afya. Juhudi zote hizo za serikali lakini bado kuna maeneo kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.