Recent content by Kunguru Mweusi

  1. K

    JamiiForums Tanzania Jamani nisaidien.

    Je? kuna uwezekano ukaikopi window na ukaiweka kwenye flash na ukatumia kuboost computer kama vile ukiboost kwa kutumia CD?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Condom zaidi ya mara moja inawezekana?

    Jaman mimi ninashida jins ya kutumia kondomu kwa usahihi, eti unaweza ukapiga bao zaid ya moja kwenye kondomu moja? kwan nimeona kwenye maelezo ya namna ya kutumia kondomu kwenye pakiti halijaandikwa hili jambo. Naomben mawazo yenu jaman.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Hii laptop inamatatizo ganii? Mbona siielewii?

    Jaman laptop yangu ina matatizo ya window,sasa najarib kuboost kwa kuweka CD mbalimbali za windows huwa haikubali na nikajaribu kureboost kwa window ileile ya zaman ikakubal sema haikumaliza kwan umeme ulikatika na kwasasa haionyesh kama mwanzo. Nifanyaje?
  4. K

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa kike wa kaka yake mama yangu wa kambo ananitaka kimapenzi.

    Jaman wana JF kuna mtoto wa kaka yake mama yangu wa kambo anapenda niwe mpenz wake na mm siwez kuwa naye kwa mahusiano kama hayo coz namheshim sana mama yangu wa kambo. Naomben ushaur wenu nifanyeje kwa swala kama hili?
Back
Top Bottom