Recent content by Kumi4

  1. Kumi4

    Special threads~Tafuta kazi Tanzania

    Anahitajika kijana mwenye ujuzi wa kupika Chipsi, Location ni Mwananyamala 200,000 kwa mwezi, tuwasiliane 0653828027
  2. Kumi4

    Anahitajika mtu mwenye familia kusimamia mifugo (ng'ombe) Iringa, Malangali kijijini

    Bila shaka eneo hatari litabaki kuwa ndio eneo salama mkuu
  3. Kumi4

    Anahitajika mtu mwenye familia kusimamia mifugo (ng'ombe) Iringa, Malangali kijijini

    😁😁😁 natamani kujua yaliyoubeba ujumbe wako kaka
  4. Kumi4

    Anahitajika mtu mwenye familia kusimamia mifugo (ng'ombe) Iringa, Malangali kijijini

    Kaka sitamani kukupinga hata kwa neno moja basi tu najua gharama za unachonishauri
  5. Kumi4

    Anahitajika mtu mwenye familia kusimamia mifugo (ng'ombe) Iringa, Malangali kijijini

    Kaka huwezi amini mana hata nyumbani wameniuliza nimerukwa na akili au ni vipi, nimetoka huko juzi tarehe 13 leo imejilazimu niombe wanipigie picha sehemu yenye huo ukame na haijaonekana, niambie nimerukwa na akili kaka nilale kwa amani leo tafadhali
  6. Kumi4

    Anahitajika mtu mwenye familia kusimamia mifugo (ng'ombe) Iringa, Malangali kijijini

    Mkuu nakubaliana vilivyo na hoja yako, ila tuweke kila kitu pembeni tutafakari hili kwa sauti na ukimya; ukiwa kama Baba kwenye ajira ya namna hii, ambayo kiuhalisia hakuna mshahara wa malaki huko au mamilioni, unahisi itakuwa rahisi ujitenge na familia pia? Hiyo moja, pili; ukitoa suala la...
  7. Kumi4

    Anahitajika mtu mwenye familia kusimamia mifugo (ng'ombe) Iringa, Malangali kijijini

    Ungekuwa ni mimi hata wewe ungejipiga vita.
  8. Kumi4

    Anahitajika mtu mwenye familia kusimamia mifugo (ng'ombe) Iringa, Malangali kijijini

    Tukiondoa ubadilishaji wa Mazingira na makubaliano ya mshahara, atakuwa na uhakika wa kula malazi vya bure kwa kipindi chote
  9. Kumi4

    Anahitajika mtu mwenye familia kusimamia mifugo (ng'ombe) Iringa, Malangali kijijini

    Wakuu habari za nyakati hii, nashukuru kwa mliojitokeza kwenye matangazo yangu ya awali ila kwa leo nina uhitaji na mtu wa kusimamia Ng'ombe mkoani Iringa, kijiji cha Malangali, nyumba ya kuishi ipo tayari na chakula kipo pia sharti tu awe ni mtu na familia yake ili wakifika wafanye makazi ya...
  10. Kumi4

    Kijana wa kusimamia bustani ya mboga mboga anahitajika, eneo kibada, mshahara 100,000

    Habarini wakuu, kama kichwa kinavyojieleza hapo juu, anahitajika kijana wa kusimamia shughuli za bustani ya mbogamboga hii ni kulima na kumwagilia, mashahara laki moja kwa mwezi, awe na uzoefu, nicheki namba 0653828027
Back
Top Bottom