Mimi namtaka Mwigulu Nchemba na wenzake wanaolalamikia watu kufurahia viongozi wa CCM wakifa wajiulize swali moja tu je ni nani amewafikisha Watanzania katika hali hii? Jibu ni kuwa ni CCM na serikali yake ndiyo imewafikisha Watanzania hapa pa kuchukiana kiasi hiki. Watu wamekuwa walitekwa...
Mkuu Pasco polisi unsowaxungumzia ni haws polisiccm au ni polisi wa nchi gani? Hivi kwa mazingira ya utawala wa Magufuli kuna jambo ambalo la kuinyooshea kidole serikali lingeweza kufanywa na polisi au Mahakama? Kuwa serious basi mkuu.Kuna mchezo mchafu ulifanywa na dola na ofisi ya spika...
Kuujua ukweli wote utamuweka huru yeye na hata wanachama ambao wana shauku kubwa ya kujua kwa usahihi hasa nini kilitokea na nani abebe lawama, pengine kuna mtu au watu walibebeshwa lawama zisizo zao.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.