Magazeti yanaandika mengi, yapo hadi yale yanayoandika habari za udaku lakini yana wapenzi wake na ndiyo maana yapo. Gazeti la Tanzania Daima kuandika waziri amtisha rais sioni tatizo lolote ndani ya hiyo habari. Unatakiwa ukisoma gazeti uende mbali kidogo na kutafakari, ukiona habari ni porojo...
Muungano huu wa CHADEMA, CUF na NCCR naufananisha na mfano alionipa babu yangu nikiwa mtoto mdogo. Babu alisema nyoka kwa asili yao huwa wanapigana sana na wakati mwingine mpaka moja anakufa. Ukitokea kwa bahati mbaya nyoka huacha mara moja ugomvi wao na kukugeukia, hasira yote ya maumivu...
Nilitamani sana kuwepo mkutanoni lakini niko mbali na Dar. Naamini umma mkubwa wa Dar utatuwakilisha tuliyoko nje ya jiji hilo. Huo ni mwanzo mategemeo yetu mikutani jinsi hiyo itakuwa mingi na ianzie: Dodoma, Morogoro, Pwani, Tabora, Njombe na Ruvuma, maana mikoa hiyo bado vuguvugu la mageuzi...
Pamoja na huo ushindi ambao CHADEMA kimeupata lakini mimi nadhani ushindi mkubwa uliopo sasa hivi hi ule ambapo vyama vyote vyeme uwakilishi makini bungeni ukiondoa vyama viwili vimeungana na kuwa na sauti moja. Hilo ni tishio, vyama hivi vya kimapinduzi vitatu viachane na siasa za itikadi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.