Supplier wangu anatoa huduma na hata wao Alibaba kipindi Una place order wanakukumbusha kuwasiliana na supplier wako Kama yupo kwenye vocation niliwasiliana nae kaniambia anapokea oda
Kuhusu sikukuu za mwaka mpya naona sio kikwazo coz ningeambiwa Malipo yanashindikana Kwa sababu hiyo Ila...
Ndio imekamilika Kiongozi,
Alafu pia Hii Dtb prepaid Master Card ni Kwa ajili ya kufanya Malipo Mtandaoni Ipo special Kwa ajili ya Kazi hiyo lakini nashangaa why inagoma
Itabidi nitafute Card ya Equity naona wengi wanawasifia wapo vizuri kwenye kufanya Malipo online
Ninayo prepaid Master card ya DTB na kuna salio la kutosha Ila sielewi why inakataa sijui tatizo lipo kwao Alibaba
Maana nimewapigia benk zaidi ya mara 4 wananiambia hakuna shida yyt na hakuna Muamala wwt unaoanekana kufanyika kwenye card yangu
Ahsante[emoji1545] sana
Samahani naomba kukuuliza tena,
Mara ya mwisho kufanya Malipo ilikuwa ni Lini na Je Alibaba walikuambia Ku verify kadi yako Au Malipo yalikamilika moja Kwa moja baada tu ya kujaza details za kadi yako kwenye order uliyotakiwa kufanya payments?
Ahsante Hiyo ya Mpesa wengi wanalalamika sio nzuri
Nahitaji njia ya benki ndo Ipo sucured zaidi na ni uhakika
Ngoja nitajaribu Barclays Equity wameniambia hawana tawi huku Kwetu Tabora
Habari wapendwa,
Hivi karibuni nili place oder Alibaba
Lakini tatizo limekuja kwenye Kufanya Malipo,
Natumia DTB prepaid MasterCard
Ila kila nikifanya Malipo naambiwa payment Unsuccessful
Salio lipo la kutosha,
Ila sielewi nini shida.
So naomba msaada Kwa wale waliofanikiwa kufanya Malipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.