Recent content by KuKu1

  1. K

    Hivi Wakristo hawana futari ya Kwaresma, mbona hawafuturishi?

    Fanyeni funga yenu iwe ya toba na sadaka ndipo tunapotofautiana kati ya sera za kikristo na sera za kiislam katu msijifananishe maana ni katiba tofauti
  2. K

    Mwanamke miaka 40’s, nahitaji mume

    Nimesoma coment zote nimepata majibu mazuri ambayo ni kama yanajibiwa na third part ...Naomba comment iwe yako sio kumuongelea mwengine....
  3. K

    Mwanamke miaka 40’s, nahitaji mume

    Niwe tu muwazi nahitaji mume Mkristo miaka kuanzia 45+ asiwe mume wa mtu, najua wengi wapo wapweke humu karibu tuyajenge. Awe tayari kupima HIV.... Awe na akili Timamu..... Awe anayejua nafasi yake kama mume..... Wajukuu na walembwe uzi huu hauwahusu.... Nawasilisha🙏
Back
Top Bottom