Hivi wadau kwa nini mikoa ya kanda ya ziwa hasa mara(musoma,tarime.rorya),kagera.nk inaongoza kwa ujambazi, kuuana kisa wivu wa kimapenzi, kuua maalbino na aina nyingi za ukatili unafanywa na wenyeji wa mikoa hii tofauti na maeneo mengine ya Tz??
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.