Recent content by kuku sharo

  1. kuku sharo

    Msaada: Mke wa mtu anataka kuhamia kwangu

    Ila kuna watu mnazalau sana, mwanaume mwenzio unamfanyia usenge wa namna hivyo, kama ni mim nakutaftia mijuba, ikunyooshe, siku nyingne usirudie. Sasa hapo unataka tukupe mbinu za kukwepa kunywa uji uloukologa mwenyewe.
  2. kuku sharo

    Tafakuri: Madaktari bingwa wa wanawake kuwa wanaume imekaaje?

    Na hapo mke wa dogo aliniambia kuwa, (nanukuu), "yaan shem, nimemwambia mdogo wako, siku nyingne asinipeleke tena katka hiyo zahanat". Hapo kabla hata mrs. aliwah kuniambia kuwa yule doctor sio kbsa anamambo ya kisenge.
  3. kuku sharo

    Tafakuri: Madaktari bingwa wa wanawake kuwa wanaume imekaaje?

    Hao wanawake wanaofanyiwa vitendo hivyo ndio wanaoleta malalamiko kwa waume zao
  4. kuku sharo

    Tafakuri: Madaktari bingwa wa wanawake kuwa wanaume imekaaje?

    Huku kwetu kuna zahanat moja, kuna doctor mmoja ashughulika na maswala ya wajawazito, anatabia, ukpeleka mkeo kuanza clinic ya ujauzito, kuna ile baada ya vipimo vya HIV na ki semina kidogo cha mr & mrs kuhusu maendeleo ya ujauzito, anakuamru mwanaume utoke nje, sasa yule doctor anatabia ya...
  5. kuku sharo

    Facebook Tanzania yakumbwa na picha za ngono, TCRA kazi kwenu

    Kwel bana, yaan siku hiz had page za wachungaj nazo zinapost picha chaf, kuna mchungaj mmoja kapost porn za maana wakat yeye pege yake ilikuwa ya kupost mahubiri tu, wiki nzima anaomba radhi, halaf anafollowers nyomi. Ni aibuu!
  6. kuku sharo

    Facebook Tanzania yakumbwa na picha za ngono, TCRA kazi kwenu

    Hapo haujanielewa, yaan wale marafiki zangu walioko facebook ndio utakuta wametajwa (tag) kwenye post za ngono. Kwahyo nikifungua tu nazikuta. Halaf na page za animation za ngono
  7. kuku sharo

    Facebook Tanzania yakumbwa na picha za ngono, TCRA kazi kwenu

    Yaan kwangu ndo tabu tupu, nilikuwa na mazoea ya kufungua facebook mbele ya watoto lakin kwa sasa nimeogopa. Marafik wengi wanaconnectiwa (tag) kwenye post za picha za ngono, mwanzon nilianza ku unfriend na ku unffolow yoyote waliyemtag na picha chaf, nimefanya hivyo lakin bado tu. Sasa kuna...
  8. kuku sharo

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Kama bado anajitafuta, simshauri kwa hizo 2000s, akubar yaishe kwa mercy, ila kama kajipata basi afanye maamzi anayoona sahh kwake
  9. kuku sharo

    Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

    Kwa ushauri wangu; Muoe tu huyo bi dada, inaonekana kweli bado anakupenda, kama alifanya jaribio la kutoa hadi ujauzito ina maana kwamba bado anakupenda, kwanza huyo ni mkeo maana ulimuanza kwa kumtoa bikra, doctor aliwaingilia tu kwa jeuri ya pesa. Huyo bi dada kama angelikua hana nia na wew...
  10. kuku sharo

    Natamani kumcheki lakini nashindwa kwa kuhofia kuonekana dhaifu kwake

    Kama utaendekeza hisia, tegemea kuwa mtumwa wa mapenzi, kama angelikua anakuona wew ni wa thaman kwake angelishakutafta. Anakuona wa kazi gan ndo maana na yeye kabunda huko
  11. kuku sharo

    Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

    Hawa wanawake tabu sana, wanavyokuwaga kwao, wanajifanya watakatifu sana, ole wake waingie ndan, ndo utajua kuwa hawa watu ni bas tu
Back
Top Bottom