Recent content by Kujitolea Mzalendo

  1. K

    Kufichwa kwa mwanafunzi wa DUCE kwa muda wa siku 20

    bwana acha kupotosha watu basi,pia tuwe sereously kwenye jambo la msigi.
  2. K

    Kufichwa kwa mwanafunzi wa DUCE kwa muda wa siku 20

    pia japo wadau wanachukulia utani ila mpaka sasa amechukuliwa pesa zake laki nane,vitu vyake kama simu,ila kama unapajua DUCE naomba unielekeze kwa kuwa simu zake hazipatikani kabisa.maana kesho naitaji niende aisee.
  3. K

    Kufichwa kwa mwanafunzi wa DUCE kwa muda wa siku 20

    mkuu huyu ni kijana ambaye nilikuwa nampelekea chakula hapo muhimbili,ila kwa sasa nipo hapa chuo cha UDSM,naomba kesho tuonane nikueleze yote mkuu
  4. K

    YAH:MWANAFUNZI WA DUCE ALIYEFICHWA

    Habari zenu,naulizia kama kuna mwandishi yeyote wa habari aliyefatilia yule mwanafunzi wa DUCE aliyekuwa amefichwa muhimbili atutumie hiyo taarifa.Pia kwa yeyote anayepajua chuo cha DUCE anielekeze ili kesho niende nikachukue taarifa hii ndugu zangu.Dogo mwenyewe aliyefungiwa ni huyu hapa...
  5. K

    Kufichwa kwa mwanafunzi wa DUCE kwa muda wa siku 20

    hellow,naomba kwa mwandishi yeyote wa habari aliyefatilia lile suala mwanafunzi wa DUCE aliyefichwa muhimbili atutumie taarifa ili tupate pa kuanzia jamani.pia anaejua mahali ambapo chuo cha DUCE kipo anielekeze jamani.
  6. K

    Kufichwa kwa mwanafunzi wa DUCE kwa muda wa siku 20

    muhimbili hawana makosa,kwa kuwa rafiki wa huyu dogo wanadai kuwa,dispensary ya DUCE ilimpeleka dogo Temeke hospitali kisha Temeke hospital ndio ilikuwa inapaswa impatie rufaa huyu dogo na kumpeleka muhimbili,na wala si Duce dispensary kutoa rufaa mara ya pili na kumpeleka dogo muhimbili.kwa...
  7. K

    Kufichwa kwa mwanafunzi wa DUCE kwa muda wa siku 20

    Dogo mwenyewe ndie huyu chini mwenye maiki hapo chini,dogo kumbe uwa anafanya mambo mazuri sana,ila hawa wasomi kwenye chuo cha DUCE nia yao wampoteze na kumwalibia.Hii ni moja ya tukio lake tuliloenda nae hapo UDOM.Jamani kesho atakayekuwa na nafasi ebu tutinge hapo DUCE ili kukamsaport huyu...
  8. K

    Kufichwa kwa mwanafunzi wa DUCE kwa muda wa siku 20

    waandishi wa habari kuazia kesho watakuwa chuo cha DUCE
  9. K

    Kufichwa kwa mwanafunzi wa DUCE kwa muda wa siku 20

    nimeambiwa alipigwa na auxiliary polisi wa chuo cha DUCE,wakati anapeleka ushaidi polisi wa PF3,ghafla alijikuta anafungwa pingu,na kutiwa kwenye gari la ambulance ya chuo,ila nimeenda muhimbili na nimeelezwa mambo mengi,ila ebu kweli tulikomalie suala hili,maana madogo wanaonewa vyuoni na...
  10. K

    Kufichwa kwa mwanafunzi wa DUCE kwa muda wa siku 20

    hii habari ni ya kweli kwa kuwa kijana huyu ata wazazi wake walikuwa hawajui mahali alipo,ila ata marafiki zake walikuwa wakimtafuta sana.ili upate stori kamili wasiliana na wazazi wake kwenye simu au nenda DUCE ulizia jina la kijana,maana huyu dogo hapo DUCE tumekuwa tukienda kuchukua habari...
  11. K

    Kufichwa kwa mwanafunzi wa DUCE kwa muda wa siku 20

    Nawashauri watanzania kutoitumia vibaya wodi ya watu wenye matatizo ya akili ya hospitali ya taifa Muhimbili, maana kuna wasomi wa DUCE wamemkamata mwanafunzi wa DUCE na kumsingizia ugonjwa, kisha alifungiwa na kupewa madawa kwa muda wa siku 20 na kumpotezea muda wakati wenzake wakiendelea na...
Back
Top Bottom