Recent content by Kudoba wepo baaah

  1. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu kuhusu Msigwa kuhamia CCM: Kwa kujiunga na maadui zangu wa kisiasa, nitalazimika kukutana naye kama hasimu wake wa kisiasa

    Ndo tatizo letu ngozi hii, UNAFIKI! Kila mtu anajifahya kuzungumzia 'kuukosa uenyekiti' katika kujaribu kutafuta uhalali wa kumshambulia Msigwa na kufurahisha 'herd' ya nyumbu wa mbowe, lakini kamwe hajuna anayezungumzia hoja za uharamia ulioasisiwa juu kabisa aliokuwa anafanyiwa!! Shida
  2. K

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Maandamano ya kumpongeza Mchungaji Peter Msigwa kuhamia CCM

    Mbona kama una hasira na mfadhaiko mkubwa mno mkuu, kwema?!!!!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Lafudhi ya Kimakonde ingekuwa ya Taifa zima ingekuwa utambulisho mzuri

    Hii mada inahitaji tuzo ya Nobel kwa kweli.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka kuwa Mwenyekiti wa Kanda hadi kuwa DC ni anguko la Aibu kuu

    Mwamba unahahaaa, pole sana🤭🤭🤭🤭
  5. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka kuwa Mwenyekiti wa Kanda hadi kuwa DC ni anguko la Aibu kuu

    Mpumbavu kaa kimya, huna la maana unaloongea unajaza saver tu na frustrations zenu za kinyumbu
  6. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka kuwa Mwenyekiti wa Kanda hadi kuwa DC ni anguko la Aibu kuu

    We umeshatafakari hoja zake alizozisema hadi kufikia kutaka kukata rufaa?!!!!
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kwa ilipofikia CHADEMA, nashauri Lissu aanzishe chama chake

    🤣🤣🤣🤣🤣
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka kuwa Mwenyekiti wa Kanda hadi kuwa DC ni anguko la Aibu kuu

    Nafikiri hii ni mada kutoka kwa mtu aliyechanganyikiwa
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka kuwa Mwenyekiti wa Kanda hadi kuwa DC ni anguko la Aibu kuu

    Hapo sasa! 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kutoka kuwa Mwenyekiti wa Kanda hadi kuwa DC ni anguko la Aibu kuu

    Tangu lini kiongozi ulijua?!!!🤭🤭🤭🤭
  11. K

    JamiiForums Tanzania Je, hii ni hotuba ya mwisho ya Mpina?

    Amekwisha, akasalimie 'dugu nyumbani'
  12. K

    JamiiForums Tanzania Mpina kuwapeleka Mahakamani Waziri Bashe na Bodi ya Sukari kwa kutoa idhini ya vibali vya kuagiza sukari kinyume cha Sheria

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Mkuu uko makini, pamoja na kuzungushwa kwenye kona ndeeefu bado umeng'amua ficho a.k.a chimbo.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mpina: Kifungu kilichotumiwa na Spika Tulia kunituhumu na kunihukumu hakipo!

    Kajamaa kanajitutumuaaa......ila wapi!!!
  14. K

    JamiiForums Tanzania Jambo gani la ajabu ulishuhudia likifanywa na mtu kwa siri akidhani haonekani?

    Ulichoandika hakieleweki, nimrejee nani sasa kama sio wewe uliyeleta hoja?!!!!!
  15. K

    JamiiForums Tanzania Jambo gani la ajabu ulishuhudia likifanywa na mtu kwa siri akidhani haonekani?

    Dada Faiza uislamu ulionao umeelewa chochote au umeishia kukariri tu?!!!
Back
Top Bottom