Recent content by Kudo

  1. Kudo

    Mimi na mapito yangu, mimi na imani mpya ya Uislam

    Na Weza kujitaja mimi kwa akaunti fake, bado utakuwa hujathibitisha, kubwa zaidi ni kulinda privacy za watu kama wewe ulivyoamua kulinda yako kwa jina fake!
  2. Kudo

    Mimi na mapito yangu, mimi na imani mpya ya Uislam

    Yes, Hapo ndipo ilipo hospital yetu ya wilaya...! Tunatibiwa hapo hapo
  3. Kudo

    Mimi na mapito yangu, mimi na imani mpya ya Uislam

    Angalizo; Andiko hili halilengi kubagaza Imani ya mtu yeyote, wala kutweza utu wa yeyote yule... Hili ni andiko la shuhuda fupi na ukuu wa Mungu dhidi yangu baada ya kubadili dini.. Ni hiyari yangu kuyaandika machache hapa... Katika kipindi cha miaka mitano, Yani kutoka mwishoni mwa mwaka...
  4. Kudo

    Casablanca papers

    Poapoa
  5. Kudo

    Casablanca papers

    Naleta! Haitakuwa basiii
  6. Kudo

    Casablanca papers

    Bakers Mkuu.. we nisubir hapahapa! Nilitingwa kidogo
  7. Kudo

    Casablanca papers

    Majira ya saa kumi jioni yalimkuta akiwa tayari ndani ya jiji la Dar es laam, begi lake mgongoni na alikuwa akitembea kwenye mitaa ya Posta huku kila mara akiitazama saa yake, hakuonekana kuwa na haraka yoyote ni kama alikuwa akizurura karibu na mitaa ya nyumbani kwake. Wakati wote alikuwa...
  8. Kudo

    Casablanca papers

    RIWAYA; . CASABLANCA PAPERS.... NA; BAHATI MWAMBA... Sehemu ya kwanza... Alikuwa ni mmoja wa watu maarufu sana ndani ya jiji la Dodoma, umaarufu wake haukumkuta kwa bahati mbaya bali ni kwa sababu ya umahiri wake wa kuchoma nyama kwenye minada maarufu ya mji wa Dodoma. Hakuwa...
  9. Kudo

    Naishataki Vodacom na Tigo Tanzania Kwa hasara walionipa

    Sasa jiulize, wameibia wangapi Kwa uhuni wa namna hii!
  10. Kudo

    Naishataki Vodacom na Tigo Tanzania Kwa hasara walionipa

    Nadhani ni Kwa sababu tunaishia kulalamika bila kuchukua hatua..! Mimi naanza kuchukua hatua
  11. Kudo

    Naishataki Vodacom na Tigo Tanzania Kwa hasara walionipa

    Imekuwa kawaida kwangu kutapeliwa pesa ninazobadili kuwa vocha, natuma kwenda Vodacom kutoka Tigo lakini upande wa Vodacom hazifiki. Huduma Kwa wateja Tigo wanadai wao wametimiza jukumu Lao kwa kufanikisha pesa kutumwa kikamilifu.. Matokeo, pesa hairudi na vocha sipati. Naingia hasara na hadi...
  12. Kudo

    Mtegoni.

    Ikiacha kupostiwa ndo mnajitokeza, ikiwa inapostiwa mnapita kimyakimya!
  13. Kudo

    Mtegoni.

    Tuwepo hapa. Baadae kidogo tunaendelea
  14. Kudo

    Mtegoni.

    Wengineo, wale mnaopenda riwaya za ujasusi na upelelezi, mikasa ya Zuki Gadu na jasusi Honda, Zedi wimba na Koplo Mina... Hapa chini ni orodha ya riwaya zao, unaweza kunifuata WhatsApp na uchaguzi wa idadi ya riwaya unazotaka na kiasi ulichonacho, tukikubaliana unalipia, unapata riwaya kwa njia...
Back
Top Bottom