Recent content by Kuchere

  1. K

    JamiiForums Tanzania Nimsaidiaje mhitimu wa kidato cha 4 alayepata Division Zero(0)?

    Sasa yeye ndo aseme upi ujuz anautaka???? Sis htuwez sem mpeleke ujuz flan n sio fani ake. We kaa nae chin muhuliz nn kipo moyoni mwake. Mwambie awe huru chchte aseme. Bcz anaweza kuwa anapenda ushonaji nguo akaogop kkuambia kisa utamuon boya aksema fundi umeme akaenda veta akfeli tena. Ko...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Aliyepata update yoyote akaunti ya HESLB

    Dah niljuwa n mimi tu yatima alokosa mkopo adi sasa. 😔 nashindwa kuelewa kigezo gani wanaanglia hawa jamaa? 1. Me yatima 2. Coz ya science tena engineering 3. Chuo cha serikali 4. Nimesoma shule za serikali. Ila ad sasa wananiambia tar 4Nov
  3. K

    JamiiForums Tanzania Aliyepata update yoyote akaunti ya HESLB

    kyagata vipi dogo lako kapata adi sasa au ngoma droo
  4. K

    JamiiForums Tanzania HESLB wamenipa kiasi kidogo cha ada, nifanye nini?

    Sawa inatupasa kushkur kwa kila jambo. Ila sasa kumbuka kuna yatima hawez pata ada wala ela ya MA ssa s bora anyonywe kurudish mkopo kuliko akose elim n kimshahara? Ipi bora kukosa kusoma n usije pata akika y kila mwez au usisome ili wasije kukukata mshahara wako?
  5. K

    JamiiForums Tanzania HESLB wamenipa kiasi kidogo cha ada, nifanye nini?

    Ila kweli yatima pure wanamnyima mkopo na anasoma coz y science chuo cha serikali. Inakuwaje??? Naamni basi sio system inayochgua nani wapewe. Ingekuwa ni system imesetiwa tiali ko inajuwa m2 wa aloweka tasfu n vyeti vya vifo inampa mkopo kma hajakosea kuomba. Ila hii m2 wa tasaf anakosa yatima...
  6. K

    JamiiForums Tanzania HESLB wamenipa kiasi kidogo cha ada, nifanye nini?

    Dah mmi nimeshangaaaa inakuwaje? Ngoj nione kesho itakuwaje
  7. K

    JamiiForums Tanzania HESLB wamenipa kiasi kidogo cha ada, nifanye nini?

    Ndio iliakikiwa kabisa. Ila adi sasa sjapata lolote lile na nimepata kbsa chuo cha serikali na coz ya science. Ila dah wanatuumiza sana
  8. K

    JamiiForums Tanzania Matumizi mabaya ya fedha kwa wanafunzi wa vyuoni/ wanafunzi wa elimu ya juu

    ZINGATIA AYA NDO UTATOBOA:- 1. Msosi kutwa...2000 *2 + 1000 ya chai. Nmekdria 1500 y msosi +500 y maji. Ndo iyo 2000.( NA APA JIANDAE N MAGONJWA BCZ WWE UNAGA BJETI Y MTUNDA... KUBDLI MLO MSOSI VTU KM IVYO) 2.. Mahusiano y kimapenzi usiwe nayo miaka 3 yote 3..Uwe na stationery yako binafsi...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo(HESLB) inavyotaka kukatisha ndoto zangu za kusoma

    Asante asante nimeelewa kwenye ili.
  10. K

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo(HESLB) inavyotaka kukatisha ndoto zangu za kusoma

    Batch ya pili tiali ilikuwa itoke ijumaa hawakutoa wakatuandikia tar 27 ila cha ajabu kuwa wenzetu wengi tu walipangiwa mkopo siku ya jmosi.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Bodi ya mikopo(HESLB) inavyotaka kukatisha ndoto zangu za kusoma

    Kichwa cha habari cha husika, Mimi ni mwanafunzi niliyepata udahili kwenye chuo kimoja cha serikali, kozi ya engineering Mimi ni yatima kabisa na sina ndugu mwenye kipato cha kunisomesha, tegemeo langu kubwa lilikua bodi ya mikopo ila mpaka sasa batch 2 zote sijapangiwa mkopo licha ya...
  12. K

    JamiiForums Tanzania HESLB wamenipa kiasi kidogo cha ada, nifanye nini?

    Ndo namshangaaa n mimi apa. Yaani watu tumeandikiwa ivyo tar 27. N mimi yatima kabisa sina mzeee wala mama. N silalamiki kiivyo. Cha msingi wanipe boom nitshkuru kwa lolote nitakachopewa.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mkopo awamu ya pili tayari au bado

    Inaonekama leo awajatoa kwa mtu yeyote yule.
  14. K

    JamiiForums Tanzania Hii status ya HESLB ina maana gani? Au ndiyo nimwandalie dogo ada mapema tu?

    Una uhakika gani kwamba atapata mkopo?
Back
Top Bottom