Recent content by Kuchayaa

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali imekuwa kimya sana kwa wazee wa Simba na Yanga

    Watu mmekuwa mbumbu sana elimu ni muhimu sana.Simple question Abromovich yuko chelsea kwa maslai ya nani?
  2. K

    JamiiForums Tanzania Simba usajili wenu uhimili michuano ya klabu bingwa Afrika

    Ebo, kumbe yanga anaweza kuwa bingwa wa club bingwa Africa!Kweli wonders shall never end!
  3. K

    JamiiForums Tanzania Mzee Kilomoni Tupo nyuma yako usiyumbishwe

  4. K

    JamiiForums Tanzania Unaangalia Fainali ya Uefa Ukiwa Wapi?

    Write your reply...kokoliko by Annex.Arusha moja!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Unaangalia Fainali ya Uefa Ukiwa Wapi?

  6. K

    JamiiForums Tanzania Umri wa Kagere na miaka ya Okwi

  7. K

    JamiiForums Tanzania Hii hapa Siri ya ulinzi mkali wa Rais Magufuli

    Write your reply...Wanaomlinda Trump uwezi kuwaona lakini anapokuwepo kunakuwa na ulinzi everywhere.Kiufupi ni kwamba ulinzi wa kisasa uko kitekinolojia zaidi na sio kama tunavyofanya sisi ,ulinzi wa mheshimiwa ni wakimaonesho zaidi, watu welioshika bunduki wamezunguka everywhere na wenyekupenda...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Polisi: Aliyekwazika na Posti ya kutishia Uhai wa Lissu aende Mahakamani

    Jana nilienda Polisi kutoa lost report kwani nilikuwa nimepoteza kitambulisho cha mpiga kura, nilienda kutoa taarifa kwa ajili ya usalama wangu na pia ili nijiandikishe tena kupata kitambulisho kipya cha mpiga kura, nilikuwa surprised pale ambapo polisi moja aliniuliza kwani wewe kitambulisho...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Bocco,Okwi,Zana na Chama wametutia adabu Simba

    Ulichosema ni sahii kabisa, unajua aina ya wachezaji unaowatumia kwa kila mechi inategemea sana aina ya team unayocheza nayo, na target ya team katika mchezo husika. Kwa mfano unapocheza ugenini definitely utahitaji kujilinda zaidi, kwahiyo utachezesha viungo wengi wakabaji badala ya viungo...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Kuelekea robo fainali Ligi ya Mabingwa Afrika, ungependa Simba SC apangwe na Timu Ipi Hapa

    Teams zote ambazo zimeshika nafasi ya pili kwenye makundi, robo fainali lazima zianzie nyumbani na kumalizia mechi ya marudiano ugenini.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli katumia barabara kutoka Dar kwenda Dodoma

    Kwani Mr.Prezidar ni mgeni wa barabara?
  12. K

    JamiiForums Tanzania Magufuli akifuta kitengo cha Lishe cha rais na Dawati la wageni Ikulu

    Kwi kwi kwi mbavu zangu mimi!
Back
Top Bottom