Wanajiunga na Chauma, Mbowe atatangwa mgombea uraisi kupitia Chauma, baadhi ya viongozi wa kanda, mikoa, wilaya na majimbo wa team Mbowe watahama na nafasi zao kujiunga na Chauma. Ahadi ya chopa 4 kwa ajili ya kampeni na gari kila mkoa kwa ajili ya kampeni.
Mkuu unakumbuka issue yangu mpaka nilikuja DM kwako? Hao Paripesa utakuwa unajuana nao wewe tu nafikiri. Kuweka hakuna shida tatizo linakuja unapotaka kutoa hiyo pesa yako.
Mkuu mimi ni mhanga wa Paripesa nimewithdraw mpaka Leo pesa haijafika kwenye laini yangu ya Airtel na kwenye akaunti ya Paripesa imeshatoka. Nidanganye kwa faida ya nani vile!
Mkuu naingia mara kwa mara kwenye akaunti yangu hakuna pesa. Siku ya 17 leo kila baada ya masaa 2 nachukungulia hakuna kitu. Ukiwasiliana na huduma kwa wateja unaambiwa wanawasiliana na mfumo wa malipo mpaka Leo hola.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.