umeandika kwa usahihi kabisa, ila kwa kifupi ni kuwa tukitaka maendeleo ya kweli kwenye nyanja zote tunahitaji kuukumbatia utamaduni wetu na kuachana na mambo ya nnje, ndio maana ya maendeleo endelevu.
Mkuu jiangalie vizuri, wewe si mweusi na wala wazungu si weupe ni ujanja wanaotumia wazungu kutushusha na mwisho tujidhalau na wao tuone wako juu yetu. Hivyo let focus on ourselves, tujitahidi kwenye kazi zetu na tupigane kwaajili ya jamii zetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.