Recent content by kubwa la mabwege

  1. kubwa la mabwege

    Tetesi: Nasikia Hamidu Matembo amekatwa mguu?

    Nyashana ulikua unawakuta Mbugani sec ambao watoto wengi wa ile shule walikua wa mabatin uswahilini rufiji na uhuru na wengine watoto wa washashi genge la masamaki. Sema kule vita ilikua sio saana sabab ya kambi ya jeshi
  2. kubwa la mabwege

    Tetesi: Nasikia Hamidu Matembo amekatwa mguu?

    Utemi wao waliufanya miaka ya 2006 hadi miaka ya 2010s baada ya mzee wao kufariki na wao pia walinusurika kuuawa ila mmojawao alishafariki.iliku Ni familia ya watoto wakorofi kishenzi isipokua Hussein tu.ndio alikua mstaarabu wao walikua hawaogopi kitu walikua na mishare mikuki marungu yaan...
  3. kubwa la mabwege

    Tetesi: Nasikia Hamidu Matembo amekatwa mguu?

    Sio kweli buswelu haijawah kuwa shule tishio Mwanza nzima labda maeneo ya huko nyakato tuu ila ukija kuanzia mabatin shule ya Mwanza sec Igogo Nyakabungo Mirongo na Mlimani ndio shule zilizokua zinasumbua saana hata maaskari sabab watoto waengi walikua wa maaskari na wanajeshi kwa hyo walikua...
  4. kubwa la mabwege

    Tetesi: Nasikia Hamidu Matembo amekatwa mguu?

    Mwanza miaka ya 2005-2010s kulikua na vikundi vingi saana manyirizu sahara, watengwa vampare wa pasians pimpili ya nyamanoro tena Athuman ndo alikua chambo mabatini nayo ilijaa vikundi vikiongozwa na watoto wa sakara kulwa na doto Nyakato napo kulikua na makundi Isamilo lilikuwepo black power...
  5. kubwa la mabwege

    Tetesi: Nasikia Hamidu Matembo amekatwa mguu?

    Ndichi ni kifupi cha ndizi ya chini
  6. kubwa la mabwege

    Nimesikitishwa na kifo cha faru Sudan, dunia ijufunze

    Mnyama anatupatia fedha za kigeni [emoji1] [emoji1] [emoji1] na anatupatia ajira pia lazima tumsikitikie
  7. kubwa la mabwege

    Reality: Mohammed Dewji, huna lolote la kutu 'inspire' sisi kama vijana

    Hahaha Ndegesela jamaa hajui kusoma wala kuandika hata vocha anawekewa na wafanyakazi wake ila kasomesha wanae nje ya nchi wote
  8. kubwa la mabwege

    Hizi ndio Salute za kijeshi duniani

    Kama hujavaa sare navoelewa kwa mbaali
  9. kubwa la mabwege

    Hizi ndio Salute za kijeshi duniani

    Yabebe dunia hayo
  10. kubwa la mabwege

    Hizi ndio Salute za kijeshi duniani

    umekuja kuimba hapa pumbafu chini woote
Back
Top Bottom