Recent content by kt the irreplaceable

  1. kt the irreplaceable

    JamiiForums Tanzania The New York Times: Vita inaligeuza taifa la Iran kuwa kubwa duniani

    Us ametangaza kuingia Hormuz na kuzuia meli zote zinaibgia na kutoka, ina maana Iran hatauza chochote na hatopokea chochote kwa njia ya maji.. ni kama Us anaweka maximum pressure kwa Iran... kwa maoni yangu vita kubwa itakuja ikiwa Us atakaza na huu msimamo.. Ngoja tuone itavyokua.
  2. kt the irreplaceable

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Vita ya Iran kimeithibitishia dunia na kuipa uhalali Marekani wa kuidhibiti Iran

    "Marekani sasa inapata uhalali wa kushambulia" mwanzo alivyoanza kushambulia alipata wapi uhalali? Nani alimpa mamlaka ya kua askari wa dunia? Kazi ya UN ni nini?
  3. kt the irreplaceable

    JamiiForums Tanzania Nimekaa Leo nimemsikiliza mzee Warioba kwa umakini, huyu mzee hafai kabisa!

    Shida kubwa ya nchi hii sio watawala, ni wananchi wasiojielewa na machawa... kama wasemavyo waswahili nguvu ya mamba ni maji... mpo tayari kulamba as* za mama kisa vijisenti... Tule mtori nyama tutazikuta chini... ila nchi hii ukombozi wa pili upo njiani.. maji na mafuta vitatengana, Mungu...
  4. kt the irreplaceable

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Viongozi wa Kiislam rasmi wawatishia Maisha Maaskofu TEC, wasema wanasubiri maelekezo ili wawashughulikie

    Vita ya kidini wanayoileta ita backfire hadi uongozi wa juu, wakumbuke ndani ya jeshi la polisi, JWTZ, TISS na bunge kuna watu wa dini zote mbili. Vita hyo ikianza.....
  5. kt the irreplaceable

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Voices from Within: Mauaji ya wananchi Dar, tusiwalaumu Polisi. Je Amri ya kuua Ilitoka kwa muuaji huyu?

    Kisipolipwa kisasi cha kuwaumiza na wao, mauaji ya namna hii yataendelea tena na tena, kwa sasa discussion iwe ni namna gani ya kulipa kisasi na wap zitapatikana silaha, dawa ya moto ni moto, hili halina msamaha.
  6. kt the irreplaceable

    JamiiForums Tanzania Britanicca: Alhamisi 28/08/2025 nitaleta Uzi ambao sidhani kama Taifa litabaki moja

    Ila Bmkubwa ana kiburi cha rohoni, sijui ameishije na Mumewe!! Ana dharau mno, kifupi ameshupaza shingo, sijui anaringia nini kwenye huu ubinadamu!! Kwa kumuangalia usoni tu huoni uzalendo wake kwenye nchi hii, ni kama amewekwa kwa masilahi ya fulani ambao wameapa kumlinda... Mungu amsaidie..
  7. kt the irreplaceable

    JamiiForums Tanzania Kuna sababu kubwa za Marekani kutokuingilia vita ya Israel - Iran

    Umetoka kwenye ule uzi mwingine wa kitoto ambao mnakesha kubishana umekuja na huku kubishana tena!? Wenzio wanaweka tafakuri za hoja, weka na wewe zako. Mtu msomi na mstaarabu anajibishana kwa hoja, evidence na statistics, unasema Iran hana makombora 500k, aya tupe wewe data sahihi. Dunia...
  8. kt the irreplaceable

    JamiiForums Tanzania Trump: Marekani inaweza kumuua Ali Khamenei, ni "easy target" inajua wapi yupo ila haitafanya kwa sasa

    Mzee anaropoka sana, nahis anazeeka vibaya, hiyo mikwara uchwara Aliianza kwa Kim wa North Korea, Urusi, baadaye china na sasa Iran, kote amesanda. Tunasubir aingie direct kwenye mchezo wa vita kama anaona ni mtamu
  9. kt the irreplaceable

    JamiiForums Tanzania Iran ikivamiwa, je Urusi itakaa kimya? Na je, Urusi ina uwezo wa kuzuia Iran isivamiwe?

    Israel na USA wataleta hasara kubwa pale Irani ila kamwe hawawezi kubadili utawala wa Iran, pia kamwe hawatazuia Iran kumiliki Nyukilia, ni suala la muda tu. Kwenye vita inayoendelea ukitoa propaganda wote wanaumizana, kwa udogo wa Israel kijografia, hali ya sasa ikiendelea nachele kusema...
  10. kt the irreplaceable

    JamiiForums Tanzania SPECIAL THREAD: Yanayojiri kwenye Mgogoro wa Israel na Iran na hatma yake kwenye siasa za dunia

    Uzi huu umejaa wapuuzi, hakuna critical analysis, hakuna data wala nini. Kila mtu anajiandikia ili mradi ana bando, upuuzi mtupu…
  11. kt the irreplaceable

    JamiiForums Tanzania Fumigation iliyopulizwa CHADEMA iongezwe, bBado kuna wadudu wanatambaa!

    Mkuu hii kitu imenichekesha sana
Back
Top Bottom