Unasema Katiba mpya itataka kuwe na Tume Huru, kwani hii ya sasa inasema tume sio huru. Fanya homework kwanza kabla hujaja kuweka vitu vya ukasuku humu ndani. Watu mnamezeshwa uongo na nyie hamtaki kusoma, kwani katiba ni siri?
Huna jipya. Tume, CCM na Serikali wameshatukanwa sana na mgombea wenu na nyie vibaraka wa mkoloni. Ila izi ngebe zenu mwisho 28 Oktoba 2020. Akili zitawakaa sawa tu.
Enough is Enough lazima Lissu ajue kwamba hii ni nchi sio mbuga ya fisi. Haiwezekani mtu kila akisimama ni matusi tu. Mambo ya kipumbavu sana, unagombea halafu unaitukana Tume? Kwanini anagombea kama hana imani na Tume?Lazima atiwe adabu.
Kwanza Mnyika anasema amepata habari kutoka kwenye vyanzo vyake ndani ya Tume, unadhani hivyo vyanzo sio makada wa Chadema? Kwa hiyo mimi hapo naweza kusema kwamba Tume ina makada wa Chadema, unadhani nitakuwa nakosea? Je kama yeye ana watu wake na anaona ni sawa wakiwa ndani ya Tume, kwanini...
Mwanasheria asiyetaka kufuata Sheria. Anakuambia anataka katiba mpya sasa kama Maadili tu ya Uchaguzi yanamshinda hiyo katiba mpya ataweza kweli? Ndio yaleyale ya kusema akishinda hatakusanya kodi halafu akimaliza mkutano anachangisha pesa za kampeni yani jamaa wana njaa mpaka kichogoni.
Sasa hizo Mercedes Benz za zamani mnaweka ilimradi tu muonekane mnahoja? Mufilisi kabisa. Kweli mfa maji haachi kutapatapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Uchaguzi Mkuu upo maandalizi lazima yafanyike. Hizi fitna nyingine hazina kichwa wala miguu, na Tume ikikosa vifaa nyie ndio wa kwanza kujitokeza na kuilaumu Serikali, kweli binadamu hana jema. Endeleeni kujenga chuki maana huo ndio mtaji wenu.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.