Kuna tetesi hapa mjini kwamba hiki chama kipya CCJ (Chama Cha Jamii ) ni bwana mkubwa aliyeenguliwa na kamati ya bwana mkubwa toka mbeya, kibaya zaidi nimesikia ni colabo ya jamaaa waliopigwa chini na ambao wana kesi tofauti zikiwepo za ufisad wa benki kuu!
Sipat uchaguzi ujao itakuwa kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.