Recent content by Krn

  1. Krn

    Selection2019

    Selection zmetoka nmechanguliwa saut mwanza kozi ambayo nliichangua kama utani kozi vyuo vngne unachagua koz tatu tu SAS kwa chuo cha saut ni NNE sasa mi nljiandaa kwa hizo tatu kama vyuo vngne kuchoise kuptia hlo nkajkuta nachangua kozi kiutan ambayo siifaham zaid nawao wanchangua hyo hyo...
  2. Krn

    Naomba maelekezo ya kozi

    Ndyo so IPI nzur kat ya izo hususan kwny ajra
  3. Krn

    Naomba maelekezo ya kozi

    Education au community development
  4. Krn

    Aliye chaguliwa chuo

    Jibu ni rahis hiyo haipo kwa tanzania
  5. Krn

    Naomba maelekezo ya kozi

    Hii unakuja kuwa nan? .bachelor of art in public relations and marketing
  6. Krn

    Naomba maelekezo ya kozi

    Shukuran kak je kwa ufaulu wng huo kozi gan nyngne itakayonifaa kama second choice na third pia chuon
  7. Krn

    Naomba maelekezo ya kozi

    Samahani wadau anayefaham hii kozi ya community development anijuze kidogo mana bado npo kwenye Giza Nene je mtu ukisoma hiyo kozi utafanya kazi ipi mim ni mwihitimu wa kidato cha sita 2019 mchepuo wa HGK na nimepata division two ya 11 so natalajia kufanya maombi ya chuo tafadhali anayefaham hyo...
  8. Krn

    Mabadikiko ya format NECTA Form IV

    Paper itakuwa na maswali matano only no choice
  9. Krn

    kero

    Opole kjana
  10. Krn

    Tetesi: tuelimishane

    Sio kweli
  11. Krn

    Msaada

    Shukuran sana
  12. Krn

    Msaada

    Nimemalza form six na kupata two ya 11 katk masomo ya arts History D geo D kiswhl C nlkuwa napenda kusoma sheria lakn naskia sheria wanachukua hgl na hkl na umri wa miaka 25 , IPI kozi itakayonifaa tofaut na sheria
  13. Krn

    MSAADA WAKUU.

    Tatzo LPO wapi ujinga usilnganshe vtu kjinga sasa hyo HGE ndy KTU gn ktendo cha kupata two kwa A level ni KTU kzur sasa hpo kwny HGK na HGE tofaut n Econimc tu kama hvyo MTU wa HGE unaweza kupga Histry A na Geo A Ecomc F unakuwa na one kama rahs
Back
Top Bottom