Kwa sasa kazi kubwa inayofanyika ni kutunga story mbaya (ambayo si ya ukweli) na kuonyesha kuwa uongozi wa mwendazake (JPM) ulikua ni mbaya na ulididimiza nchi. Baada ya kuahalilisha hicho wanachokitunga kwa baadhi na kukieneza basi wenye malengo yao wataanza kutekeleza wanacho-plan na kukitetea...
Nadhani anayetakiwa kubalika ni huyo Edo mwenyewe, na pia ndo anayetakiwa kujiuliza "yeye binafsi yukoje" na siyo watu wa Mara wakoje. Kwanza anaonekana ana dharau sana kwa watu wa Mara, hakika hiyo makala yake ina maudhi sana kwa wana Mara.
Hakika Alberto ameeleza kitu ambacho ni sahihi kabisa. Nina hakika Zitto na baadhi ya wanaolikomalia hili jambo wanaelewa ila wanajaribu kulitumia kwa namna yenye manufaa kwao kama wanasiasa. Pamoja na kwamba Ndugai alivuka mipaka na kutumia lugha ambayo haikutarajiwa kutumiwa na mtu kama yeye...
Ni upuuzi na ufinyu wa kifikra kwa mtu aliyefikia hadi ngazi ya uwaziri kulalamikia ununuzi wa ndege ktk nchi ambayo haikuwa na ndege hata moja! Hata kabla ya huo ununuzi wa ndege hiyo matatizo ya wananchi ktk jimbo lake yalikuwepo (tena akiwa waziri).
Kama mbunge inaonekana hana msaada zaidi...
Miaka michache nyuma upinzani (hasa Chadema) ulijengwa kwa misingi sahihi na inayostahili kisiasa, hadi ikavutia watu wengi na wengine maarufu (kama mawaziri mkuu wawili wastaafu). Ilionekana ni tegemeo mbadala ktk uongozi wa nchi.
Ajabu baada ya stratejia ya chama kushikwa na watu wengine (kwa...
Nami nakubaliana na hoja ya Mwanakijiji. Tena mbaya zaidi vyombo vya habari vinashurutisha wale wasiokua tayari - kuwa mwandishi yeyote atakaekwenda kinyume na matakwa hayo (ambayo si sahihi) atachukuliwa hatua. Ni kweli siyo wajibu wa vyombo vya habari kuchukua hatua walizozichukua!
Ukisikiliza point za Nape na Bashe Bungeni ni tofauti sana, mimi sioni sababu ya kuwajumuisha ktk group moja hawa wawili. Hata kama point za Bashe zinaweza kuwa zinaichoma serikali lkn huwa ni point zenye maana na zina manufaa sana zikifuatiliwa. Bashe huwa anaongea kitaalamu kabisa na kwa mtu...
Ukisoma nilichoandika utagundua kuwa sijakataa kuwa Lisu ni mwanasheria mahiri, ila haina maana kuwa ni yeye tu aliye mahiri (kuna wengi sana wabobezi ktk sheria zaidi yake lkn wao si wanasiasa ). Mtizamo wangu ni kuwa mara zote anawasilisha maoni yake kwa mtizamo hasi ambao wakati mwingine...
Nilitegemea Tundu Lisu kama Rais wa chama cha wanasheria angeongea tofauti na alivyofanya, amejikita ku-criticize kama kawaida yake. Waziri wa sharia alisema kuwa sharia mpya huanza kuwa applied pale inapotungwa na kupishwa (haiendi nyuma), na kuwa kwa mikataba ya madini iliyokwishaingiwa kabla...
Ili kutenda haki kwa pande zote ni vema pia kubadilisha hili: ikiwa mtoto wa kike ataruhusiwa kuendelea na masomo baada ya kujifungua basi inabidi ile sheria inayomtaka mtu yeyote atakayetembea na binti wa chini ya miaka 18 kutumikia kifungo cha miaka 30 jela nayo ibadilike.
Hakuna haki kumfunga...
Ila mimi bado nasubiri siku moja Lissu aongee kama rais wa chama cha wanasheria, lkn kila nikimsikiliza naona anaongea kama mwanaharakati wa sheria na akisimama kwa nafasi yake ya mwanasheria wa chama kikuu cha upinzani. Baadhi ya siku akiwa anaongea kwa kutenganisha hizo kofia zake mbili (kwa...
Wakati wa kutangaza nia akigombea urais kupitia CCM aliambatana na akina Kalamagi, na akawatambusha mbele y kadamnasi kuwa ni watu wanaotakiwa kuigwa katkika nchi hii. Eti wanachukia umasikini kama anavyouchukia yeye. Kwa hiyo haya yanayofanyika ni kinyume kabisa na mahitaji ya Lowasa.
Maalim Sharief, kama una msimamo wa kutokaa meza moja na Lipumba na kuona ni afadhari ukakaa na CCm basi naona wewe ndo unasababisha mgogoro huu kutoisha. Acha kinyongo na ubinafsi, chama ni cha wanachama wote nanyi wawili ni viongozi tu. Pamoja na chuki zako kwa Lipumba inabidi ukae naye ili...
Ni kweli ni muhimu sana Tanzania nayo ichukue hatua stahiki kuhusu hili suala, Zitto ameongea point. Tukikaa kimya na wao wakaendelea kuleta bidhaa zao huku kwetu bila ya masharti hali ya kuwa wanakataa za kwetu hakutakua na umaana wowote. Ni muhimu kama jumuia ya Afrika Mashariki tuwe na "Win...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.