Recent content by Koyemeshili

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kitanda kinazaa haram, sheria ya kupima DNA iangaliwe upya

    Kuna rafiki yangu tangu mkewe ana mimba alijua c ya kwake kwa sababu alikuta msg wanawasiliana mpaka anajifungua wiki ya kwanza bado wanawasiliana mwisho wa siku mwanamke kamfungukia jamaa mtoto c wake na akamuomba msamaha jamaa katulia anaendelea kulea mtoto hii imekaaje wadau?
Back
Top Bottom