Hapa jambo la msingi ni kuelewa kazi za bunge na mbunge kwa ujumla,,,na zana nzima ya uwakilishi,,,kwa sababu wanaowakilishwa ni watu na sio ukubwa au udogo wa eneo
Hoja ya kuwa na wabunge wengi kwa kuwa eneo ni kubwa ila watu ni wachache ni kuongeza matumizi ya fedha za walipa kodi bila msingi...