Recent content by koryo1952

  1. K

    JamiiForums Tanzania YAHUSU NYONGEZA YA PENSHENI KWA WASTAAFU WA PSSF

    Mhe. Rais uliongeza Pensheni kwa Wastaafu hivi karibuni na wote tulipongeza sana. Mhe. Rais cha kusikitisha sisi Wastaafu tunaopokea pensheni zetu za kila mwezi kwa asilimia 100 kutoka PSSF hatujaongezewa hata senti moja licha ya tamko lako. Tunakuomba Mhe. Rais na sisi tunaopokea pensheni...
  2. K

    JamiiForums Tanzania CCM haina wanachama milioni 13

    Tusubiri siku ya kura tuone kama hao 13m+ watapiga kura.
  3. K

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwekezaji tufanye biashara

    Hongera sana kama mtumishi unapambana lakini mimi siwezi kumkopesha Mwafrika mwenzangu sisi ni watu wa ajabu sana. Mwafrika ukimkopesha ndiyo imekula kwako.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Mnaotaka Kuninua Magari,Mda Ndio Huu.Shilingi ya Tanzania Yaikalia Kooni Dola.Magri bei chee ,Mafuta bei chee.

    Tunataka Dolla moja (1) iwe sawa na Tshs.1,000 ya Tanzania. Shillingi ya Tanzania still weak compared to other currencies.
  5. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Hatua zisipochukuliwa kuna hatari siku ya uchaguzi ikawa siku ya aina yake. Watu hawatajitokeza kupiga Kura hasa maeneo ya mijini

    Uko sawa kwa asilimia 100. Watu watajitokeza wachache sana. Political Legacy kwa atakayeshinda kutakuwa na maswali bila majibu.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Tuongee ukweli, Abdallah Ulega hastahili kuwa Waziri wa Ujenzi

    Hata Waziri wa Fedha hafai kurudi kwenye nafasi yake.
  7. K

    JamiiForums Tanzania Mwanamtandao Rostam Aziz kufanya mahojiano maalum leo Septemba 2, 2025 kupitia UTV

    Atazungumzia masuala ya gesi. Atazungumza ni kwa nini wananchi wanauziwa gesi kwa Tshs.60,000.
  8. K

    JamiiForums Tanzania Itinerary ya Safari ya Siku Mbili – Serengeti National Park (Camping Safari)

    Nipe gharama yote ya utalii kwa siku mbili hizo ulizosema.
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kama yale anayoyasema ndugu Polepole kuhusu bei ya gesi ni ya kweli basi Serikali ichukue hatua za haraka kurekebisha bei ya gesi

    PolePole anasema kuwa bei ya kilo 15 ya gesi ya kupikia kwa Tanzania isingezidi Tshs.10,000(elfu kumi). Kama kweli anasema ukweli basi kwa Serikali inayojali wananchi wake basi ni vema ikapunguza bei ya gesi ya kupikia. Mhe. Rais anasema kuwa tupunguze sana kupikia kuni ambayo nchi yetu...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Uzinduzi wa Kampeni za Urais za Chauma Kinondoni Wazua Taharuki, Mashaka yatanda

    Poleni sana CHAUMMA. Mtakuja kujuta sana.
  11. K

    JamiiForums Tanzania Balozi Mulamula akabidhiwa rasmi Ofisi za Mjumbe Maalum wa AU anayeshughulika na Wanawake, Amani na Usalama

    Huyu Mama alikuwa anafanya vizuri sana pale Wizara ya Mambo za Nchi za Nje. Sijui kitu gani kilitokea mpaka akatemwa. Dunia hii iacheni tu.
  12. K

    JamiiForums Tanzania Toa Maoni yako kuhusu Neno "Mama hana Deni"

    Katika lugha ya kiuchumi inasema mtu yeyote mwenye akili timamu LAZIMA uwe UNADAIWA na wewe UNADAI.
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tetesi: GE2025 Kwanini shule za sekondari za Halmashauri ya Mji wa Bunda zinawaambia Wanafunzi na Walimu kwenda kesho standi ya zamani kwenye kampeni za CCM?

    Mgombea anaheshimika sana Bunda. Amewahi kuwa DC wa Bunda na kwa kweli anapendwa sana Bunda. Kuna Shule ya Sekondari hapo mjini Bunda inaitwa kwa jina lake. Watu wa Bunda watajitokeza kwa wingi sana kesho.
  14. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Charles Kulwa aomba Msimamizi Msaidizi wa Uchaguzi kutupilia mbali pingamizi alilowekewa na mgombea mwezake wa udiwani wa CCM Kata ya Sabasaba

    Ufiwani ndiyo inamaanisha nini. Ingekuwa mgombea wa ACT ndiyo kaandika maneno hayo ufiwani angefutiliwa mbali.
Back
Top Bottom