The United States has sanctioned a Tanzanian official who sparked fear in the gay community by announcing plans to track and punish homosexuals in the East African nation.
The U.S. statement Friday said Paul Christian Makonda...
Kila kitu Ni Meya na Zito wanatengeneza Ten percent madiwani wengine wamedhulumiwa kwenye mgao sasa hakuna maelewano. meya kala 400 milion na Zito 200 milion wengine wameambulia 5 milion sasa mzozo balaa
Hivi watanzania tunataka nini maana siwaelewi ina maana hakuna lolote Rais anatenda jema kwa watanzania au kwa kuwa watu mnashinda mitandaoni mnalipwa kuja kuchafua taswira ya nchi?
Tatizo mnasahau kuwa Leseni zote zilitolewa kwa mujibu wa sheria za Tanzania vivyo hivyo chochote kitafanyika kwa mujibu wa sheria ya Tanzania . Na waende huko wanadhani watashinda imekula kwao hiyo na hakuna ushabiki kwenye hili.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.