Recent content by Koplo Nyigu

  1. K

    JamiiForums Tanzania Kutokwa na damu wakati wa kujisaidia haja kubwa. Je, ni tatizo gani hili?

    Baada ya Damu kutoka baadaye nilipata kigumu. Lakini kabla ya kupata choo kigumu zilianza damu.
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kutokwa na damu wakati wa kujisaidia haja kubwa. Je, ni tatizo gani hili?

    Habari wadau! Naombeni msaada kama kuna daktari, mimi leo nimeenda chooni ile najikamua kwa ajili ya kujisaidia haja kubwa, zilitoka damu pure ( yaani damu ambazo hazijachanganyika na kinyesi) lakini baadaye nilijitawadha then nilipopata choo wala hakikuchanganyika na damu sasa sijajua tatizo...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Wanaume: Njia za kuchelewa kumwaga mapema

    Hivi kisayansi mwanume anatakiwa amwage baada ya muda gani? Kama ulimwengu huu wa kawaida huwezi kukaa dakika45
Back
Top Bottom