Recent content by konklion

  1. konklion

    JamiiForums Napata maumivu kwenye viungo vya mwili nimeenda hospitali lakini sijapata nafuu

    Shukran mkuu.ila mi sio mpenz Wa nyama kbsa.na mbuz skumbuk mara ya mwisho nlikul mwak gan
  2. konklion

    JamiiForums Napata maumivu kwenye viungo vya mwili nimeenda hospitali lakini sijapata nafuu

    Poleni na majukumu ndugu zangu kama mjuavyo maradhi tumeumbiwa binadamu mwenzenu nimekuja hapa leo nahitaji msaada wenu,yaan ni hivi kama wiki mbili nyuma nilianza kuskia maumivu kwenye mkono wangu wa kushoto eneo la bega kwa ndani,nikaenda hospitali ya wilaya jirani wakanipa vidonge. Lakini...
  3. konklion

    JamiiForums Katika watu waliopungukiwa na akili dudu baya ni namba moja

    Nawaza hii Kik ya konk konk ikiisha atajificha wap....maan anafosi mno.
Back
Top Bottom