Recent content by kondo7

  1. kondo7

    JamiiForums Tanzania Mimi kama dereva nawezaje kuepukana na ajali za kusababishiwa?

    Asa na wewe umeandika nini sasa... mtu anakuomba ushauri, wewe unakuja na kejeli.. Mimi nimeshuhudia madareva wengi wa magari Asa kipindi cha usiku wanaendesha wamelewa.. na ndo ajali nyingi zinatokea muda huo.. kwahiyo ndugu yangu dereva nakuomba usipendelee kuendesha bajaji/pikipiki nyakati za...
  2. kondo7

    JamiiForums Tanzania Nimesoma Diploma in Mechatronics Engineering Internship

    Jiunge na TAESA ndugu.
  3. kondo7

    JamiiForums Tanzania Ajira Portal inahitaji mabadiliko, inakatisha ndoto za vijana wengi kwenye kuomba ajira

    Mimi nimesoma Diploma in accountancy lakini nianza kusoma kuanzia Cheti(certificate) mpaka Diploma Sasa kwenye hizi kazi za TRA nimeiweka na nimefanya certification ya transcript Moja tu yaaan ya DIPLOMA. Ila sijaiweka ya cheti(certificate) kwasababu niliipoteza hiyo transcript.... Je inaweza...
Back
Top Bottom