Recent content by Kompis

  1. K

    Rais Magufuli tazama hii video ujibu maswali yetu

    Wewe hauna tofauti na mavi
  2. K

    Mwanasheria mkuu wa CHADEMA, Tundu Lissu amshauri Freeman Mbowe kutokwenda Polisi

    Ukikimbizana na kichaa wewe utaonekana kichaa Zaidi ya yule kichaa waliyemzoea. Nawashauri wazima wenzangu msimjibu huyu kichaa aliyeandika huu upuuzi hapo juu!
  3. K

    KISUTU: Tundu Lissu afikishwa Mahakamani, apata dhamana

    Una roho mbaya Zaidi ya mkaanga sumu! Hata mchawi hawezi kuwa na roho kama yako. Jitafakari na umwombe Mungu wako msamaha.
  4. K

    Orodha Ya Wanasiasa "Walioshindwa" Kufanya Kazi Na Mbowe

    hivi hebu tutumie akili kidogo tuu kufikiri badala ya kuwa mawakala wa mtaa wa lumumba na mwisho wa siku buku 7 basi. Tuanze na Zito mwenyewe. Kwa akili ndogo tuu mtu unaanzisha chama ukiwa ndani ya chama unategemea kweli kuendelea kuwa kiongozi wa chama ulichokiasi k2a kuqnzisha kingine? Kama...
  5. K

    Naomba msaada toka kwa yeyote kuhusu serikali ya kikwete

    Kama ungeweza hata kunijibu hoja yangu kwa walau mistari miwili tu ningekushukuru. Kikwete ni rais wa Tanzania ambayo ni nchi yangu. Ni bahati mbaya sana imetokea mimi kama Mtanzania kuongozwa na rais DHAIFU na asiye na maono (VISION) kama Jakaya Mrisho Kikwete! Wanajamii Forum watakubaliana...
  6. K

    Naomba msaada toka kwa yeyote kuhusu serikali ya kikwete

    Jamani imebaki takriban miezi KUMI Kikwete kumaliza ngwe yake. Nimejitahidi saana na kujaribu kwa kadri niwezavyo kuangalia MAFANIKIO ya serikali ya Kikwete NIMESHINDWA kupata hata mojala kujisifia ndani ya kipindi chake kama rais wa Tz. kama yupo anayeweza kunisaidia kwa hili anifungue macho Kompis
  7. K

    Mwigulu ni bomu: Ataka kukusanya kodi za pesa chafu

    Mwigulu hana moral authority manake naye ni mchafu kama wachafu wengine. Kwa wale wanaokumbuka kampeni za kumwingiza mtoto wa Mgimwa Bungeni baada ya baba yake kuwa kolimbalised na magamba - Mwigulu alitumia zaidi ya milion 500 pale Kalenga! Hizi pesa zilitoka wapi kama siyo part of the dirty...
  8. K

    Ccm twajikaanga wenyewe

    mbona unaongea ----- wewe? mwenzio aliyetangulia alikuwa muungwana kweli na ameeleza ukweli halisi wewe unakuja na hoja dhaifu kama wewe mwenyewe ulivy dhaifu kuwa kuanzia Jumatatu ni kujibu mashambulizi! Hivi kweli ndicho tunachohitaji watanzania? Kwa watu wenye akili kama yako unategemea...
  9. K

    Jaji Warioba amshushua Prof. Shivji kuwa si mkweli, Ni Mpotoshaji!

    Kwa kweli kama kuna kitu kimenisikitisha na kunihuzunisha ni UNAFIKI NA UZANDIKI wa Professor ISSA SHIVJI msomi mzuri naaliyebobea kwenye tasnia ya sheria. Kitendo cha kurudia kul matapishi yake mwenyewe kwamba Zanzibar inatakiwa kujitambua na pia kusema haoni tatizo kwa Zanzibar kubadilisha...
  10. K

    Uchambuzi; Spika Sitta anakwenda kufanya kosa kubwa...

    Mimi binafsi Majid niliyekuwa namjua alikuwa very critical na mchambuzi mzuri sana wa hoja, mada mbalimbali. Majid huyu aliyepost hii post siyo Majib Mjengwa ninayemfahamu. Labda kama ni Majid aliyebadilika! Sidhan Kama ni yule Majid aliyekuwa na mrengo wa kina Nyerere, Kina Salim Ahmed Salim na...
  11. K

    Tanganyika imerudi

    Ndiyo kubwaaaa tanganyika yetu irudi
  12. K

    CCM watumia mabus ya Upendo kusomba watu

    jamani kwani hamjui mabasi ya UPENDO William Lukuvi ana hisa kubwa kwenye hiyo kampuni?
  13. K

    Mch. Peter Msigwa (Mb), atukana

    wee ni ma ------ nini? mbona nimesoma neno wa neno, herufi kwa herufi sioni maneno au neno linaloweza kusomeka au kueleweka kama tusi kwa kile mch. Msigwa alichokisema? wakati mwingine usiweke post kwa kishabiki bila kufikiria! kalale
  14. K

    CHADEMA yavuna wanachama wapya Mbeya Vijijini (ktk picha)

    kwa hiyo mkuu unataka kutuambia kuwa mambo bado kwa "waropokaji" ukimaanisha ni CHADEMA ilahayo hayo mambo ni tayari kwa MAFISADI, WAUZA SEMBE, WAVIVU WA KUFIKIRI WANAOSHUSHA ELIMU YETU, WAUAJI KWA MABOMU, TINDIKALI, WANYOFOA KUCHA, MACHO NK NA WASIOPENDA KUAMBIWA UKWELI NA UKIWAAMBIA UKWELI...
  15. K

    CHADEMA yaanzisha mgogoro na China - Yamshitaki balozi wake Umoja wa Mataifa!

    Hata kama ni ushabiki wa kisiasa sasa huu ni ushamba na upuuzi kama siyo kufikiri kwa kutumia masa..buri!!! Hivi kweli kwa akili yako alichofanya mh. balozi kinastahili kupongezwa? Kama ni kupungukiwa na ufahamu hata wewe ungepaswa urudi tena darasani
Back
Top Bottom