Recent content by komora096

  1. komora096

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania What's so special about Nairobi?

    Mpuuzi hyo..hata nilimshangaa mimi
  2. komora096

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania What's so special about Nairobi?

    We mbna haya unayoyaongelea mabo ya kawaida sana.. Km kuiba kw wa tz ndio hko basi bado sana.. Hayo ni km marupurupu ya kijanja ili kila moja aishi
  3. komora096

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Naona bado upo vitani kijana wa samia
  4. komora096

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Naona bado upo vitani kijana wa samia
  5. komora096

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Mzee baba upo
  6. komora096

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya hakuna demokrasia Wala uhuru wa Mahakama ni uhuni mtupu

    Njoo mombasa Mzee Baba tule bata, achana na mambo ya maandamano Nambari +25479000**60 Fika mwembe uni DM nikupe namba zangu kw ukamilifu
  7. komora096

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya hakuna demokrasia Wala uhuru wa Mahakama ni uhuni mtupu

    Kila nchi ina mapungufu yake, ila ya Tanzania sio mapungufu tena..ni ukoma uliotukuka Kwahyo Acha hasira kw vi video vyako hapa ku justify malengo yako . Mbona hu post Yale mazuri yaliyofanywa na mahakama... Sasa ngoja uone hao polisi waliobugi km hawatosumbuliwa, Ahmed Rashid sai amebaki pekeake..
  8. komora096

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Tanzania kuna desturi ya kutaja makabila ya watuhumiwa wa umalaya

    Acha kutetea ujinga wewe,
  9. komora096

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Tanzania kuna desturi ya kutaja makabila ya watuhumiwa wa umalaya

    Bwahaha!!akili zako hazipo mzee.. Sasa kisumu si ni city mzee acha mkikuyu kuna mbunge mhindi, msomali we vp mzee Watz ukabila upo juu sana katika maisha ya kawaida, kenya ukiachana na siasa ukabila upo chini sana..
  10. komora096

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Tanzania kuna desturi ya kutaja makabila ya watuhumiwa wa umalaya

    Mwanza ni city pia...arusha vile vile
  11. komora096

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Tanzania kuna desturi ya kutaja makabila ya watuhumiwa wa umalaya

    Mbunge dar ni nn bana..
  12. komora096

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Tanzania kuna desturi ya kutaja makabila ya watuhumiwa wa umalaya

    Wa chato
  13. komora096

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Tanzania kuna desturi ya kutaja makabila ya watuhumiwa wa umalaya

    Sasa temeke si ipo daresalam, hata hku pia watu si wanaongoza mijini mombasa, nairobi, kisumu
  14. komora096

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Tanzania kuna desturi ya kutaja makabila ya watuhumiwa wa umalaya

    Ukabila tz umejaa ila wanajitoa ufahamu, emu mzaramo aende usukumani km atapata ubunge
  15. komora096

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Air Tanzania yaongoza Afrika, yazitupa kwa mbali KQ, ET na SAA

    Hyo labda kw anaenza kazi kw hapa kenya, buda kuna watu katika hyo field wanakula over $1000 ukiacha mbali marupurupu
Back
Top Bottom