Recent content by Komborakombora

  1. K

    JamiiForums Tanzania CCM haiombi mtu kuhudhuria mikutano yake

    Ukweli ni kwamba huwezi kumlazimisha mtu asiyetaka kuja kwenye mkutano. Hata umpe usafiri, kama hataki, hataki. Vilevile, mikutano ya CCM imekuwa ikihudhuriwa na maelfu ya wananchi. Sasa kama basi moja linabeba watu 65, je, utahitaji mabasi mangapi kuwasomba maelfu ya watu? Hilo haliwezekani...
  2. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesalimiana na maelfu ya Wananchi wa Rungwe, Mkoani Mbeya, waliofurika barabarani kumlaki katika Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu leo, Septemba 05, 2025
  3. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    🌿 Mbeya – Uyole Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, amepokelewa kwa shangwe na nyomi kubwa la wananchi wa Jimbo la Uyole, waliojitokeza barabarani kumlaki kwa furaha kubwa wakati wa Mikutano ya Kampeni za Uchaguzi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Maelfu ya Wananchi wa Wilaya ya Rungwe, Mkoani Mbeya, wamejitokeza kwa wingi kushiriki katika Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu, uliohudhuriwa na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Septemba 05, 2025...
  5. K

    JamiiForums Tanzania GE2025 Special Thread: Taarifa za Kampeni za Wagombea Urais kupitia CCM, Samia Suluhu na Dkt. Emmanuel Nchimbi

    Wingi wa wananchi kwenye mikutano ya kampeni ni ushahidi kuwa sera na maendeleo ya CCM yanagusa maisha ya watu moja kwa moja. Demokrasia inatoa nafasi kila mtu achague, sisi tumechagua maendeleo. 💚💛 #Haijapatakutokea #Kurayakwanzakwasamia
  6. K

    JamiiForums Tanzania Jengo la Mama na Mtoto – Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya (Meta) Jengo hili ni miongoni mwa majengo ya kisasa yaliyotekelezwa katika hospitali 7 za

    Jengo la Mama na Mtoto – Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya (Meta) Jengo hili ni miongoni mwa majengo ya kisasa yaliyotekelezwa katika hospitali 7 za kanda nchini. Ni ushahidi wa dhamira ya dhati ya Serikali inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuhakikisha mama na mtoto wanapata huduma...
  7. K

    JamiiForums Tanzania Kasumulu – Mbeya Kituo cha Pamoja cha Forodha kilichojengwa katika mpaka wa Tanzania na Malawi ni matunda ya utekelezaji wa Sera ya Diplomasia

    Kasumulu – Mbeya Kituo cha Pamoja cha Forodha kilichojengwa katika mpaka wa Tanzania na Malawi ni matunda ya utekelezaji wa Sera ya Diplomasia ya Uchumi. Mradi huu umelenga kuimarisha mwingiliano wa watu, kukuza biashara na kudumisha mshikamano wa ujirani mwema kati ya mataifa haya mawili...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    ⚡ Mradi wa REA III – Mzunguko wa Pili, Mbeya Utekelezaji wa mradi huu umekamilika kwa mafanikio makubwa. 👉 Zaidi ya wateja 7,546 na vijiji 152 sasa
Back
Top Bottom