Habari wana jf
Zikiwa zimebakia siku chache yai kutotolewa na raisi! mpya kujulikana utafiti uliofanyika na shirika la TEDRO. ...Umebainisha kati ya watangaza nia wote waliotangaza
Hotuba bora ni hotuba za vijana kisha wazee kufwatia ndani ya CCM. ....
UTAFITI HUO UMEBAINISHA HOTUBA BORA...
Nilipoanza kuangalia nikasema hakika January makamba kichwa anaongea hivi bila kusoma basi huyu ni hatari
Kumbe dume limeweka Hotuba kwwnye secreen linasoma.
.....
Tv toka ukutani jamaa akisoma
Ukimsikiliza Lowassa kwa makini utagundua mzee amepoteza kumbukumbu katika hiyo video. Anasema miaka 58 baada ya uhuru; kwa hiyo kichwani mwake anajua mwaka huu ni mwaka 2020.
Yote tisa kwake karamagi na Chenge ni watu wa kuigwa anatamani kungekua na akina Karamagi na Chenge elfu 20 hivi...
KUMEKUCHA DODOMA
"Sauti ya mtu inasikika nyikani yatayarisheni mapito ya bwana" ndio kuna sauti inasikika arusha tarehe 30/05/2015 lakini sauti hiyo inasema yenyewe inabatiza kwa maji yupo anaekuja anabatiza kwa moto. ...
Ni kweli lowasa anatayarisha mapito ya bwana Mwigulu nchemba...
Ikiwa ni mwaka wa tano tangu mheshimiwa lowasa tangu awe mwenyekiti wa kamati ya bunge mambo ya nje hajawi kusoma taarifa ya mambo ya nje. ...
Wajumbe wa kamati hiyo
Wanaonekana katika picha wamelalamika lazima lowasa asome taaarifa ya saa nzima akiwa amesimama. .bungeni
Kamati ya mambo...
Ripoti inayotolewa na Taasisi ya Utafiti Nchini Tanzania TEDRO na Mashariki yote inaonesha kuwa endapo uchaguzi ukifanyika leo Nchini Tanzania,Mh.Lowassa na Mwigulu Nchemba ndio wenye nafasi kubwa ya Kushinda nafasi hiyo.
Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dsm Mkurugenzi wa TEDRO Joseph...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.