Moja ya kitu kinachorudisha nyuma maendeleo ya hizi taasisi na mashirika mengi ya serikali ni hizi teuzi. Tunakuwa na watu wasio na uwezo ama wenye wenye uwezo ila wanafanya maamuzi ya kujikomba na kujipendekeza. Huyu bwana tangu ameteuliwa kuwa DG wa PSSSF kwa msaada wa mtoto wa mjomba pale...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.